Stella Njimbwi
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 882
- 575
Na siku zote pamoja na umafia au ulafi wake wa pesa au kutumia fursa kupitia wasanii, lkn katika hali ya kawaida Ruge huwaga mtulivu sana. Yani yanayosemwa na wasinii kisha ukasikiliza Ruge atakachoongea unaweza kumuunga mkono Ruge. Hanaga papara, namkubali sana.Mkuu tunampenda sana Diamond lakini ya ukweli yasemwe. Ile ofisi mpya ya WCB hawajanunua ila wamepangisha. Lengo ni kufungua WCB TV ambayo mmiliki wake kwa 100% ni Bashite.
Katika vita ya Ruge na Bashite nae ameamua kuanzisha media kwenye 'makos wake'. Dismond anatumika lakini mafahali yanayopigana ni Ruge na Bashite
Ruge amekuwa mstaarabu sana kwenye hili
Kwan kuna shda mkuu..??kwan kma n kwel unajua makubaliano yao yakoje hadi ulalamike?Binafsi sipendi kuongelea watu na mambo ya wasanii lakini hili limenigusa sana sana.
Kama mnakumbuka namna mr Nice alivyokuwa akiishi maisha ya kuigiza,steven kanumba hivyo ivyo pamoja na wasanii wengine sikuua kama msanii mahiri kama Diamond akiingizwa katika ujinga huo huo na wasaka pesa.
Kutokana na ugomvi wa chini chini baina ya kundi la WCB na Clouds media hasa chanzo kikiwa ni mradi wa redio na tv..sasa akina kusaga wameweka wazi kuwa zile Karanga za Diamond Karanga ni mali ya kampuni ya Clouds na Diamond ni balozi tu.
Nimeumia sana,maana nimekuwa nikimuona diamond kama kijana anayesaka fursa licha ya kutokuwa na elimu ya kutosha.
Namuomba diamond afanye yake atatoboa badala ya maisha ya show.
--------------------\
Sawa lakini si mali yake tumekubalianaPana watu wamepata ajira kupitia jina la huyo ALMAS kwa kuitangaza hiyo bidhaa awe ana hisa au anapewa kamisheni yote kheir mwisho wa siku kitu fulani ni bora kuliko kisichokuwepo. Wengine hata huo uwezo wa kupewa kamisheni hatuna vijana tuchape kazi haya mambo ya kuzodoana na kufikiriana mabaya hayatusaidii.
Hahaha mleta mada bonge la bwege , ukiwa yoyoyo shida mjiniKuna watu hua wanaanzisha post kwa kuonekana tu wameanzisha uzi kumbe ndsni ya uzi ni ushuzi,usikute mwanzisha uzi ni bonge la bwege but kucha kutwa kufatilia maisha ya watu,fanya kazi wewe,ziwe zake ama si zake bado kwako haina tija,zaidi unaumia wewe tu kwa chuki.
Karanga zangu, perfume yangu....hahaha hamna pakutokea leo povu tuuPoint safi Leo umekuwa na positive thinking nimekusapoti kwa mara ya kwanza
Diamond karanga ilikuwepo kabla Naseeb Abdul hajahama Tandale...Hili jina Diamond linamilikiwa na huyu Naseeb?
WCB for Life hahahahsSafi sana, sijawi kuona akisema ni mali yake, all in all anapata pesa ndefu kwa kuwa brand
Hahaha we utafurahi mi niongozane na mkeo halafu niseme wa kwangu?Jamaa kafurahi kinoma kugundua sio za Diamond,
Mkuu fanya kazi na ombea wenzako pia wafanikiwe tukifanikiwa wote hakuna ubaya,
Kwani mm nikienda kula bata brazil wewe ukaenda miami mshana jr akaenda jamaica au nigeria kuhudhuria mikutano ya kichawi kuna tatizo?
Kwan kusema Diamond Karanga si mali ya chibu ni kutomtakia mema?Watasema hata wasafi ni ya kusaga!
Bahati nzuri Diamond huwa haongelei sana hizi issue. Wengi wanaoongea ni wale wasiomtakia mema!
Tafuteni kazi za kufanya!
Vipi chibu perfumes nayo ya kwake???...na ule mjengo aliotuonesha juzi wa wasafi tv na fm wakwake???Lini alitamka au kuandika ni mali yake?
Mbona inajulikana kuwa anavuta pesa ndefu sana kila mwezi kufanya anayofanya..
Nilisoma mahala ni 30m tshs kwa mwezi ndio maana anayofanya hayashangazi juu ya karanga hizo. Na zinauzika sana sana.. hata jana nilijikuta nanunua liboksi lote tena..
Hata kama analipwa au ana shares.. wengine ndio inabidi kuiga mfano wa kuingiza kipato.. kuna mengi duniani
Huu uandishi wako huwa wa hovyo sana kama hulka za mchattle na grace wake bashiteEeeeeeeeh
Sasa uongo au ukweli kwangu nafaidika nini na habari za celeb wa TZ?.. pita huko acha tuburudike na kusukuma watu wajitokeze kutoka pangoni.. na habari. Huoni aibu eti uongo na husemi lolote.. eeeeh hii ID umenimisi hasi umeshindwa kuiachia na kuapa kote siku ile kwenye uzi ule.. ulimisika babu.. ukomwe kuapa ovyo.
Kweli aseeZiwe zake au zisiwe zake haikuongezei wala kukupunguzia kitu, fanya yako umbea mwachie mange