Kumbe Diamond Karanga Diamond ni balozi! Mali ni ya Joseph Kusaga

Kumbe Diamond Karanga Diamond ni balozi! Mali ni ya Joseph Kusaga

Kwa wale wabishi, kuwa karanga zinatumia jina la Diamond sijui brand hizi karanga zinaitwa Diamond Karanga miaka na miaka, wamebadilisha rangi ya packet tu na kurembesha zaidi ila jina la Diamond Karanga ni la miaka yao yote ila zinatengenezwa na kampuni ile ile ya miaka yote.

31e3d4a410fbf2fdb9d2ce46cfe39456.jpg

Ni kwamba Kusaga alinunua ubia kwenye hiko kiwanda then akamleta Diamond aje amfanyie promotion.

Na ndo maana wenye karanga zao baada ya tifu wametoa siri kuwa Diamond ni balozi wao tu, sasa nyinyi bado mnafosi tuu.

Jamani kubalini matokeo na ukweli kujulikana na msogee mbele zaidi. Cha maana tujifunze kutokunyali wasanii wengine bila kuujua ukweli wa utajiri wa wasanii wetu.

Huyu kijana anafake sana life.
watu huwa wakiambiwa haya maneno uliyoysema ktk sentensi yako ya mwisho wanavimbisha midomo hatari..mimi binafsi nimewahi kuzila mnoo hizo karanga mwaka 2015 kabla diamond hajapewa huo ubalozi nakutngaza kuwa NI zakwakwe ..na pact moja ilikuwa ya uzwa sh.200
 
True lakini watu wamekuwa kama Walevi tuu
 
Yeezy ni za Kanye au Adidas? na Jordan ni za Michael Jordan au Nike? , ukiweza kuyajibu haya ndio utajua diamond yupo mbele ya mda na hamna sehemu diamond aliyosema karanga ni za kwake.
 
Yeezy ni za Kanye au Adidas? na Jordan ni za Michael Jordan au Nike? , ukiweza kuyajibu haya ndio utajua diamond yupo mbele ya mda na hamna sehemu diamond aliyosema karanga ni za kwake.
Kwani kuna sehemu.alisema si za kwake?
 
Kwahiyo ni Balozi wa Maisha, au?! Bado tuna kumbukumbu za kuambiwa hata Wasafi TV si yake, ni ya Kusaga na Diamond ana hisa 2% tu!!
 
Mkuu tunampenda sana Diamond lakini ya ukweli yasemwe. Ile ofisi mpya ya WCB hawajanunua ila wamepangisha. Lengo ni kufungua WCB TV ambayo mmiliki wake kwa 100% ni Bashite.

Katika vita ya Ruge na Bashite nae ameamua kuanzisha media industry kwenye 'makoa wake'. Diamond anatumika lakini mafahali yanayopigana ni Ruge na Bashite

Ruge amekuwa mstaarabu sana kwenye hili
Kumbe na wewe dada una upumbavu hivi?
 
Back
Top Bottom