Kwa wale wabishi, kuwa karanga zinatumia jina la Diamond sijui brand hizi karanga zinaitwa Diamond Karanga miaka na miaka, wamebadilisha rangi ya packet tu na kurembesha zaidi ila jina la Diamond Karanga ni la miaka yao yote ila zinatengenezwa na kampuni ile ile ya miaka yote.
Ni kwamba Kusaga alinunua ubia kwenye hiko kiwanda then akamleta Diamond aje amfanyie promotion.
Na ndo maana wenye karanga zao baada ya tifu wametoa siri kuwa Diamond ni balozi wao tu, sasa nyinyi bado mnafosi tuu.
Jamani kubalini matokeo na ukweli kujulikana na msogee mbele zaidi. Cha maana tujifunze kutokunyali wasanii wengine bila kuujua ukweli wa utajiri wa wasanii wetu.
Huyu kijana anafake sana life.