Kumbe Diamond Platnumz ni mkali hivi?

Matattoo hayo hayaakisi maisha ya kimaskini sijui kwanini anashindwa kuyazibaga hili uhalisia uwe asilimia 100 si mara ya kwanza kutofanyiakazi suala hilo
Matajir bawangaiki na tatoo wao simple tu ila nyie na mimi masikini ndo mambo zetu
 
Kwenye huo wimbo mimi sijaona sehemu yoyote aliyoonyesha kuwa yuko kijijini katika maisha unayosema wewe, kaonyesha yuko jijini (Dar) kabisa isipokuwa ni kwenye life la uswahilini.

Hapo Dar vijana wengi tu wana maisha ya kawaida na tattoo wamechora.
 
Siyo siri. Diamond ameleta mapinduzi kwenye tasnia.

Vijana wajifunze ya kuiga kama juhudi za dogo
 
Acheni masihara buana ngoma kali sana kuanzia ujumbe mpaka video na idea yake

Mwamba amerudi bonge la dude aiseee

Nyimbo haina matusi wala mbambamba video u aweza angalia na watoto au wazazi haina ukakasi kabisa


Nadhani kwa hapa amegusa maisha ya vijana wengi wa sasa hususani hari ya maisha tunayopitia kiuchumi a mahusiano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…