shamimuodd
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,188
- 2,113
Wasomi bhana.....Hela wazipate wao wengine nongwa😁😁Kijana anayetukana wasomi alikuwa Teja la unga
Jifunze na wewe upige debe Kama utaweza? Achana na mambo ya kusikiaga sikiaga. Kuna kitu mwamba Doto anacho ambacho wewe na mimi pengine hatuna na tunapaswa kujifunza.Mbona nasikiaga hata hiyo biashara sio ya kwake ye ni mpiga debe tu yaani kikipatikana chochote kitu ndo anagaiwa na mwenye magari yake.
#msinisutejamani
Natengua kauli. Waombe moderator wafute uzi wangu. Ni kweli nadhani Dotto ni mtu wa utani utani. Kumhukumu mtu kwa mambo ya zamani siyo poa, sema siwezi futa hii postiKijana achana na hizo mambo, focus kwenye ishu zako za msingi.
Kila mtu ana historia yake. Jifunze katika mazuri yake tu! Mambo mengine hayatakusaidia achana nayo.
Alikuwa Teja na Mwizi enzi zake ila nina uhakika baada ya Kubadilika na anachokifanya sasa atakuwa kakuzidi Kipesa.GTs,
Kijana anayetukana wasomi alikuwa Teja la unga, je kipato chake ni halali au ndiyo kawa pusher halafu anadanganya watu ana akili biashara imekubali? Nadhani mamlaka ya kuthibiti madawa wamtembelee
Alivyoandika kama kaandika Habari ya maana!Yes alikuwa teja ila kashaacha ,maisha mapito.
Mtoto wa Mama Kizimkazi na hapa ipo....Kizimkazi imeitika.
Very well said mwanaume unaacha kudeal na issue zako unawaza umbeyaKijana achana na hizo mambo, focus kwenye ishu zako za msingi.
Kila mtu ana historia yake. Jifunze katika mazuri yake tu! Mambo mengine hayatakusaidia achana nayo.