Kumbe Dotto Magari alikuwa Teja?

Kumbe Dotto Magari alikuwa Teja?

Mbona nasikiaga hata hiyo biashara sio ya kwake ye ni mpiga debe tu yaani kikipatikana chochote kitu ndo anagaiwa na mwenye magari yake.

#msinisutejamani
Jifunze na wewe upige debe Kama utaweza? Achana na mambo ya kusikiaga sikiaga. Kuna kitu mwamba Doto anacho ambacho wewe na mimi pengine hatuna na tunapaswa kujifunza.
 
Kijana achana na hizo mambo, focus kwenye ishu zako za msingi.

Kila mtu ana historia yake. Jifunze katika mazuri yake tu! Mambo mengine hayatakusaidia achana nayo.
Natengua kauli. Waombe moderator wafute uzi wangu. Ni kweli nadhani Dotto ni mtu wa utani utani. Kumhukumu mtu kwa mambo ya zamani siyo poa, sema siwezi futa hii posti
 
GTs,
Kijana anayetukana wasomi alikuwa Teja la unga, je kipato chake ni halali au ndiyo kawa pusher halafu anadanganya watu ana akili biashara imekubali? Nadhani mamlaka ya kuthibiti madawa wamtembelee
Alikuwa Teja na Mwizi enzi zake ila nina uhakika baada ya Kubadilika na anachokifanya sasa atakuwa kakuzidi Kipesa.
 
Kijana achana na hizo mambo, focus kwenye ishu zako za msingi.

Kila mtu ana historia yake. Jifunze katika mazuri yake tu! Mambo mengine hayatakusaidia achana nayo.
Very well said mwanaume unaacha kudeal na issue zako unawaza umbeya
 
Ndio alikuwa Mteja.Kaupemesa sana Kinondoni,Brazil Magomeni,mpaka jangwani kwa Mama Simba.
Kauchoka,kauacha,kajipata.
Roho zinawauma mmepinda migongo mnaota teuzi.
Mwenetu amehitajika,na ameitwa.
Binadamu sio nyau wewe,asofaa Leo kafaa.
 
Back
Top Bottom