Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Kesi imefunguliwa kumshtaki rais wa zaman wa Barcelona Sandro Rossell aliyemsaidia Eric Abidal kujipatia kiungo cha ini kimagumashi mwaka 2012. Abidal alikuwa anahitaji kipande cha ini kwa ajili ya kupandikiziwa kwenye ini lake ambalo inaonekana lilikuwa linafeli.
Kashfa hiyo inamwandama Rossel imechapishwa kwenye gazeti/jarida la el cofidacial ikimtuhumu kununua kiungo hiko kwa watu maskini kinyume na sheria.
Barca wametoa statements kuelezea sakata hilo.
Kashfa hiyo inamwandama Rossel imechapishwa kwenye gazeti/jarida la el cofidacial ikimtuhumu kununua kiungo hiko kwa watu maskini kinyume na sheria.
Barca wametoa statements kuelezea sakata hilo.