Kumbe Erick Abidal alijipatia ini kimagumashi.

Kumbe Erick Abidal alijipatia ini kimagumashi.

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
8,581
Reaction score
15,618
Kesi imefunguliwa kumshtaki rais wa zaman wa Barcelona Sandro Rossell aliyemsaidia Eric Abidal kujipatia kiungo cha ini kimagumashi mwaka 2012. Abidal alikuwa anahitaji kipande cha ini kwa ajili ya kupandikiziwa kwenye ini lake ambalo inaonekana lilikuwa linafeli.

Kashfa hiyo inamwandama Rossel imechapishwa kwenye gazeti/jarida la el cofidacial ikimtuhumu kununua kiungo hiko kwa watu maskini kinyume na sheria.

Barca wametoa statements kuelezea sakata hilo.
Screenshot_20180704-150435.jpeg
Screenshot_20180704-151117.jpeg
Screenshot_20180704-151122.jpeg
 
Siyo kwel Abdal amekanusha pia Viongozi wa hospital iliyoshughulikia suala hilo wamekanusha.
 
Back
Top Bottom