Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weeeeee Mfalme Suleiman angekuwa na smart phone tungekoma.Ukiwa tajiri utaonekana tu. Akina Bakhressa unawaona wakijitangaza facebook ama instagram? Unafikiri mfalme Suleiman alijitangaza social media? Nakwambia hakuwa limbukeni hivyo. Utajiri wake ulionekana na kujitangaza.
mzee kwani ukishalipia hiyo kodi ya forodha unakuwa ushamaliza kila kitu? kwamba hulipi tena kodi?Mkuu bado hujanijibu unafuu wa kulipa kodi ya forodha unapatikana vp kwa mali iliyonunuliwa kupitia kampuni. Ukizungumza Assets za kampuni ni vitu kama Majengo, thamani, magari, pikipik na kadhalika sasa hizo zina effect gani ktk ulipaji wa kodi ya forodha?! Kodi ya forodha ni kodi inayokatwa kwa kuingiza bidhaa yoyote kutoka nje ya nchi kulingana na thaman yake regardless kwamba imeingizwa na kampuni ama mtu binafsi. Sasa kama mali imengizwa nchini na kampuni huo unafuu wa kulipa kodi ya forodha unapatikana vp kulinganisha na mali iliyoingizwa na mtu binafsi ?
Ata Diamond anaonekana tuu kwani ameandaa press na kujitangaza? alichofanya ni kuwajulisha wafuasi wake wa Instagram baasi kuwa leo nimenunua gari fulani huo ni wajibu maana ni wafuasi wake, suala la habari zake kusambaa hilo haliepukiki ni star yule, ndio maana Ata Davido alipomnunulia gari binti yake taarifa zilisambaa wakati yeye Davido alipost tu kwa ajili ya mashabiki wake, wakati wa mfalme Selemani hakukuwa na Instagram wala FB njia ya kujitangaza ndio hayo maandishi uliowekewa kwenye vitabu kuwa selemani alikuwa Tajiri kuliko binadamu yeyote Ata haya ni matangazo maana kwani watu wasipoambiwa selemani alikuwa Tajiri kwani ufalme wa Mungu hawatauona? Kuna uhusiano gani ufalme wa Mungu na utajiri wa selemani mpaka uandikwe?Ukiwa tajiri utaonekana tu. Akina Bakhressa unawaona wakijitangaza facebook ama instagram? Unafikiri mfalme Suleiman alijitangaza social media? Nakwambia hakuwa limbukeni hivyo. Utajiri wake ulionekana na kujitangaza.
Eeeeti?Ata Diamond anaonekana tuu kwani ameandaa press na kujitangaza? alichofanya ni kuwajulisha wafuasi wake wa Instagram baasi kuwa leo nimenunua gari fulani huo ni wajibu maana ni wafuasi wake, suala la habari zake kusambaa hilo haliepukiki ni star yule, ndio maana Ata Davido alipomnunulia gari binti yake taarifa zilisambaa wakati yeye Davido alipost tu kwa ajili ya mashabiki wake, wakati wa mfalme Selemani hakukuwa na Instagram wala FB njia ya kujitangaza ndio hayo maandishi uliowekewa kwenye vitabu kuwa selemani alikuwa Tajiri kuliko binadamu yeyote Ata haya ni matangazo maana kwani watu wasipoambiwa selemani alikuwa Tajiri kwani ufalme wa Mungu hawatauona? Kuna uhusiano gani ufalme wa Mungu na utajiri wa selemani mpaka uandikwe?
Ata aliponunua RR mwaka huu alijitangaza kwenye mitandao na hiyo ndo maana halisi yakuwa celebrityAta Diamond anaonekana tuu kwani ameandaa press na kujitangaza? alichofanya ni kuwajulisha wafuasi wake wa Instagram baasi kuwa leo nimenunua gari fulani huo ni wajibu maana ni wafuasi wake, suala la habari zake kusambaa hilo haliepukiki ni star yule, ndio maana Ata Davido alipomnunulia gari binti yake taarifa zilisambaa wakati yeye Davido alipost tu kwa ajili ya mashabiki wake, wakati wa mfalme Selemani hakukuwa na Instagram wala FB njia ya kujitangaza ndio hayo maandishi uliowekewa kwenye vitabu kuwa selemani alikuwa Tajiri kuliko binadamu yeyote Ata haya ni matangazo maana kwani watu wasipoambiwa selemani alikuwa Tajiri kwani ufalme wa Mungu hawatauona? Kuna uhusiano gani ufalme wa Mungu na utajiri wa selemani mpaka uandikwe?
mzee don't hate but be inspiredAcha uongo na wewe Unaweza ukawa unaongea vitu vengine vya ukweli lakini hapa umedanganya!!!..
WASAFI sio kanisaHapana sio kukwepa kodi, makanisa huwa yana misamaha ya kodi, unakuta waumini pendwa hupitishia huko ila hayauziki hayo magari 🙂🙂🙂 maana utalipa kodi
Hahahahaaah! Mzee mbona umepanic? kwani ujana wako ulikuwa unafanya nini mpaka hasira zako uhamishie kwangu ova mi ndo anilikushika shati usiwe hata na kibanda, achilia mbali kampuniWewe mjinga wa mwisho Nani kakudanganya haya mambo siyo ajabu hata jina lako la uongo kwenda huko!!... Unadhani wote humu wajinga kama wazazi wako walioshindwa kukupeleka kupata Elimu Bora!!....
Hiyo wala sio kukwepa kodi, matajiri walio wengi duniani wana hiyo kawaida ya kucooperate mali zao binafsi na za kampuni... ni kitu cha kawaida na wala sio ujanja...WASAFI sio kanisa
DIAMOND sio kanisa
hastahili misamaha ya kodi ya taasisi za kiimani
ametumia kampuni kukwepa kodi kupitia cooperate taxation loopholes
Diamond amekuwa gynomous public figure lakini bado ana mentality za michongo ya kukwepa kodi...
Akili za umaskini wa Tandale zimekataa kumtoka
Ungekuwa mfanya biashara ungeelewa maana ya diamond kupitishi huko. Hapa tutapotezeana mda tu. Jumatatu njemaWASAFI sio kanisa
DIAMOND sio kanisa
hastahili misamaha ya kodi ya taasisi za kiimani
ametumia kampuni kukwepa kodi kupitia cooperate taxation loopholes
Diamond amekuwa gynomous public figure lakini bado ana mentality za michongo ya kukwepa kodi...
Akili za umaskini wa Tandale zimekataa kumtoka
umenena vema bro!Ungekuwa mfanya biashara ungeelewa maana ya diamond kupitishi huko. Hapa tutapotezeana mda tu. Jumatatu njema
Wewe jamaa unapiga nyundo nzito nzitoHivi Diamond angeweza kuleta kiwanda cha Rolls Royce Bongo akakimiliki, watu fulani si wangejinyonga kabisa?
It's just a car people. You can get one too if you hustle right and stack your paper.
It's not like he said he has invented some cold fusion technology.
Umejibu utumbo mtupuWewe mjinga wa mwisho Nani kakudanganya haya mambo siyo ajabu hata jina lako la uongo kwenda huko!!... Unadhani wote humu wajinga kama wazazi wako walioshindwa kukupeleka kupata Elimu Bora!!....
Asante ndugu yangu kwa kunielimisha.kwenye makampuni kuna kitu kinaitwa corporate/ushirika, hapa mnashirikiana na kampuni kununua mali fulani. Mali yako binafsi ukiinunua kupitia mgongo wa kampuni VAT yake itapigiwa km ni asset ya kampuni, so kampuni litatozwa kodi ya jumla na sio asset husika km ungenunua kwa kutumia jina lako.! Hivo makato yanakuwa afadhali kidogo
Na kingine hautakuwa unazama mfukoni mwako directly kulilipia kodi, bali kampuni ndo litaingia kost wakati we mgao wako wa faida wa mwisho wa mwezi unakuwa safe
cha mwisho, kwa case km ya mond huwezi ukatenganisha kampuni na mali zake binafsi kwa kuwa main purpose ya kampuni ndo kazi anayoifanya yeye mwenyewe personally (entertainment company), so vitu vyake binafsi automatically vinajikuta vipo ndani ya kampuni, hvo inakuwa km mali ya kampuni
Typing error is a human error, mimi nilifikiri utajadili hoja ya msingi kumbe unajadili kosa la kawaida kwenye uandishi, cha kustaajabisha kwenye maelezo yangu umeona kosa moja tu, lakini umeshindwa kujadili hoja unaangaika na kosa la kiuandishi, hii inaonyesha ni kwa namna gani bado kuelimika ni tatizo kubwa kwako"Hata"? Inaonekana nabishana na mjinga ambaye aliruka shule ya msingi na kwenda sekondari moja kwa moja. Nikishakugundua hivyo nakuacha. Tafuta wajinga wenzio ambao hawawezi hata kuandika neno "hata" kwa Kiswahili ubishane nao.
Typing error is a human error, mimi nilifikiri utajadili hoja ya msingi kumbe unajadili kosa la kawaida kwenye uandishi, cha kustaajabisha kwenye maelezo yangu umeona kosa moja tu, lakini umeshindwa kujadili hoja unaangaika na kosa la kiuandishi, hii inaonyesha ni kwa namna gani bado kuelimika ni tatizo kubwa kwako