Kumbe gari ya kampuni?

Ukiwa tajiri utaonekana tu. Akina Bakhressa unawaona wakijitangaza facebook ama instagram? Unafikiri mfalme Suleiman alijitangaza social media? Nakwambia hakuwa limbukeni hivyo. Utajiri wake ulionekana na kujitangaza.
Weeeeee Mfalme Suleiman angekuwa na smart phone tungekoma.
Jamaa alikuwa bishooo, handsome, ana mihela, cassanova mmoja matata sana.

Yani tungekoma Insta, Twitter, Tinder, Facebook, Google koteeee.
Nawaza ambayo angekuwa anapost mijihela ,midhahabu , midada yenye hipsi, mi diamond.

Ah weeeh tungepata tabu sana
Angekuwa na machawa kibao.
 
mzee kwani ukishalipia hiyo kodi ya forodha unakuwa ushamaliza kila kitu? kwamba hulipi tena kodi?

ukisoma vizuri maelezo yangu hakuna sehemu nilipoandika kuingiza mali mpya... na ukielewa kwa mapana utajua namaanisha nin!
hivi unajua kuwa kuna kodi ya maegesho? na ya mazingira? hivyo navyo vinalipwa unapoingiza gari? sio likianza kutumika?

ukiwa na kampuni ndo utajua zaidi
 
Ukiwa tajiri utaonekana tu. Akina Bakhressa unawaona wakijitangaza facebook ama instagram? Unafikiri mfalme Suleiman alijitangaza social media? Nakwambia hakuwa limbukeni hivyo. Utajiri wake ulionekana na kujitangaza.
Ata Diamond anaonekana tuu kwani ameandaa press na kujitangaza? alichofanya ni kuwajulisha wafuasi wake wa Instagram baasi kuwa leo nimenunua gari fulani huo ni wajibu maana ni wafuasi wake, suala la habari zake kusambaa hilo haliepukiki ni star yule, ndio maana Ata Davido alipomnunulia gari binti yake taarifa zilisambaa wakati yeye Davido alipost tu kwa ajili ya mashabiki wake, wakati wa mfalme Selemani hakukuwa na Instagram wala FB njia ya kujitangaza ndio hayo maandishi uliowekewa kwenye vitabu kuwa selemani alikuwa Tajiri kuliko binadamu yeyote Ata haya ni matangazo maana kwani watu wasipoambiwa selemani alikuwa Tajiri kwani ufalme wa Mungu hawatauona? Kuna uhusiano gani ufalme wa Mungu na utajiri wa selemani mpaka uandikwe?
 
Eeeeti?
Kwamba ilikuwa lazima tujue kuwa mtu aliyekuwa na Wake 300 na Masuria 800 ndo aliyebarikiwa kuwa tajiri kuliko mwanadamu yeyote aliwahi kuumbwa na atakayeumbwa?

Hayo yote sisi yanatusaidia nini?
Mbona yaliandikwa?
Sasa unafkr wasingeweka kwenye insta kweli?

Weee sio kweli.
 
"Hata"? Inaonekana nabishana na mjinga ambaye aliruka shule ya msingi na kwenda sekondari moja kwa moja. Nikishakugundua hivyo nakuacha. Tafuta wajinga wenzio ambao hawawezi hata kuandika neno "hata" kwa Kiswahili ubishane nao.
 
Ata aliponunua RR mwaka huu alijitangaza kwenye mitandao na hiyo ndo maana halisi yakuwa celebrity
 
Acha uongo na wewe Unaweza ukawa unaongea vitu vengine vya ukweli lakini hapa umedanganya!!!..
mzee don't hate but be inspired

unajua maana ya uwekezaji? tuachane na uwekezaji sababu kichwa chako bado cheupe..!! twende huku huku, hebu nambie unavojua ww kwanini mama kusaga si mmiliki wa wasafi limited lakin anaonekana mmiliki wa wasafi tv?

au unaifahamu scenario wanayotumia makampuni ya simu? au tufanye hv, nani ni mmiliki wa cocacola tanzania na sio wale wamarekani?

vitu vingine hata sikutakiwa kukujibu kwa vile bado uelewa wako mdogo mno... ila nimekujibu ili wenye akili zao wapate ufaham kidogo
 
Tatafute hela huu ujinga tuache!
Mondi ni another level
 
Hapana sio kukwepa kodi, makanisa huwa yana misamaha ya kodi, unakuta waumini pendwa hupitishia huko ila hayauziki hayo magari 🙂🙂🙂 maana utalipa kodi
WASAFI sio kanisa
DIAMOND sio kanisa
hastahili misamaha ya kodi ya taasisi za kiimani

ametumia kampuni kukwepa kodi kupitia cooperate taxation loopholes

Diamond amekuwa gynomous public figure lakini bado ana mentality za michongo ya kukwepa kodi...

Akili za umaskini wa Tandale zimekataa kumtoka
 
Wewe mjinga wa mwisho Nani kakudanganya haya mambo siyo ajabu hata jina lako la uongo kwenda huko!!... Unadhani wote humu wajinga kama wazazi wako walioshindwa kukupeleka kupata Elimu Bora!!....
Hahahahaaah! Mzee mbona umepanic? kwani ujana wako ulikuwa unafanya nini mpaka hasira zako uhamishie kwangu ova mi ndo anilikushika shati usiwe hata na kibanda, achilia mbali kampuni

anyway, nmeyaandika hayo kwakuwa ndo nayaishi na sio kuyasikia mitaani...

usichukie, be inspired babu! hahahahaaah!
 
Hiyo wala sio kukwepa kodi, matajiri walio wengi duniani wana hiyo kawaida ya kucooperate mali zao binafsi na za kampuni... ni kitu cha kawaida na wala sio ujanja...

wapo wale wanaonunua km wao personally na wana incur macost yote juu yao na huwezi ona hilo gari likitumika kwa namna yeyote ile na kampuni
 
Ungekuwa mfanya biashara ungeelewa maana ya diamond kupitishi huko. Hapa tutapotezeana mda tu. Jumatatu njema
 
Wewe jamaa unapiga nyundo nzito nzito
 
Asante ndugu yangu kwa kunielimisha.
 
"Hata"? Inaonekana nabishana na mjinga ambaye aliruka shule ya msingi na kwenda sekondari moja kwa moja. Nikishakugundua hivyo nakuacha. Tafuta wajinga wenzio ambao hawawezi hata kuandika neno "hata" kwa Kiswahili ubishane nao.
Typing error is a human error, mimi nilifikiri utajadili hoja ya msingi kumbe unajadili kosa la kawaida kwenye uandishi, cha kustaajabisha kwenye maelezo yangu umeona kosa moja tu, lakini umeshindwa kujadili hoja unaangaika na kosa la kiuandishi, hii inaonyesha ni kwa namna gani bado kuelimika ni tatizo kubwa kwako
 
Unavyoandika gives an indication of your IQ. Once nikielewa IQ yako iko chini sana, sina tena muda wa kubishana nawe. Typo haiwezi kuwa mara 2 kwenye sentensi 3. Hiyo siyo typo. Ni uwezo wa ubongo wako. Sitakujibu tena. Ciao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…