Kumbe GENTAMYCINE naye ni mzee wa "Hit & Run".

Hili livulana halijakuaaa mlielekeze litakutana na wanawake walopinda litakufa
of course kwa statement yako maana yake wewe ndo umepinda...usitegemee kukutana na mimi. nipo hapa kuwaamsha kizazi kipya ili wasiwe wateja wenu..they need a life.
 
Utawa-hit wangapi?
umewahi kuhesabu tangu uzalie umekula au kwenda choonimara ngapi??

Utawa-run wangapi?
umewahi kuhesabu vipindi vya shule ulivyotoroka?

Kula kula mkuu!
kula ni lazima kuoga hiari.

Yawezekana haujapatikana, Ila siku ukiingia ktk 19 zao uta-stay tu mkuu wala hautachomoka
wewe uliepatikana una nini hadia saivi zaidi ya routine ya maisha ya kila siku??
 
Wote tulikua tunasema hivyo hivyo utanasa tu,only time will tell!Muulize Ruge ambaye tulimuaminia kwenye hiyo sekta alivyomlilia demu
 
Sijaoa
Ila kaa kwa makini ufikirie
Sasa ku hit and run nayo ni sifa ya maana maishani?
duniani hamna sifa...duniani hasa kwenye jamii ya binadamu ndio tunaumba mabo yasiokuwepo...kuhit and run ndo mpango, kama vile unavyoenda chooni kila siku ila huweki akilini kwamba: dah...leo nimeenda chooni, i have achieved something
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…