Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanadhani tunapack tu popote.Exactly........ Wanaume wajinga hivi ndo maana wanawekewa damu ya hedhi kwenye mchuzi wanakufia huko ....maisha yanaendelea .....kanikera sana huyu bwege
of course kwa statement yako maana yake wewe ndo umepinda...usitegemee kukutana na mimi. nipo hapa kuwaamsha kizazi kipya ili wasiwe wateja wenu..they need a life.Hili livulana halijakuaaa mlielekeze litakutana na wanawake walopinda litakufa
Hapana mkuu love is not businesskustay maana yake you are a repeating customer? PITY
Na Mimi siwezi iruhusu akili yangu ikutane na mtu kama weweof course kwa statement yako maana yake wewe ndo umepinda...usitegemee kukutana na mimi. nipo hapa kuwaamsha kizazi kipya ili wasiwe wateja wenu..they need a life.
lni ukweli mchungu, ila ulaya wameshaelewa...love, religion, politics...it's 100% business. kwanini mama aliyekuzaa ukimvunjia heshima anakulaani???Hapana mkuu love is not business
Staying with one faithful partner
unawapa mbichwa kusema tusichezee mioyo yao...ina nini zaidi ya uwezo wa kusukuma damu??Ku hit na ku run ndio style mpya My take usichezee na mioyo ya hawa viumbe
ww utakuwa mfungwa wa gereza la ndoa sio bure.Ku hit na ku run ni sifa za kijinga
Nazo
si kwasababu ina majeraha...halafu na mm sio doctorNa Mimi siwezi iruhusu akili yangu ikutane na mtu kama wewe
Sijaoaww utakuwa mfungwa wa gereza la ndoa sio bure.
Kwann nimvunjie heshimalni ukweli mchungu, ila ulaya wameshaelewa...love, religion, politics...it's 100% business. kwanini mama aliyekuzaa ukimvunjia heshima anakulaani???
Ndio maana Nakupenda [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Hapana mkuu love is not business
Staying with one faithful partner
OK SWEETHEART[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7] haya twende zetu Nyumbani Babe
[emoji131][emoji173][emoji173]OK SWEETHEART[emoji7][emoji7]
duniani hamna sifa...duniani hasa kwenye jamii ya binadamu ndio tunaumba mabo yasiokuwepo...kuhit and run ndo mpango, kama vile unavyoenda chooni kila siku ila huweki akilini kwamba: dah...leo nimeenda chooni, i have achieved somethingSijaoa
Ila kaa kwa makini ufikirie
Sasa ku hit and run nayo ni sifa ya maana maishani?