Kumbe GENTAMYCINE naye ni mzee wa "Hit & Run".

Binafsi siaminikatika hit n run. Demu akizingua namkata kama cancer, yaani kama vile simjui. Ila sifanyii uhuni.

Umetukosea adab real man ambao hatuamini ktk hit and run. Hit and run is for https://jamii.app/JFUserGuide boy, players n hoes.. real man tuna stay real na tuna amini ktk misimamo.

Kama wewe ni hit n run, hiyo ni ww, si wanaume wote.
 
lni ukweli mchungu, ila ulaya wameshaelewa...love, religion, politics...it's 100% business. kwanini mama aliyekuzaa ukimvunjia heshima anakulaani???
Kwa nn mpenz wako akikuchukia una mtukana una mind? Simple uchungu.
Mama anaona na kukuzaa kote , kukule kote lakin bado unamvunjia heshima yes.. out of hasira kali na laana inafuata.
 
Hit and run ni kaa ajili ya players, hoes and shit.

Mentality ya hit n run ni kwa ajili ya malaya..na unifaithful peopl ambao hawajiheshim na hawaheshimu watu wengine.

ndio maana ukimwi na magonjwa ya ajab hayaishi sababu ya mentality za kijinga kama hizi.
Stay faithful, kusa na partner mmoja . Akizingua mwache, take your time chukua mwingine. Hakuna aib ukiwa mwaminifu.

Na nyia akina dada ambao mnaongozwa na tamaa, kuweni makini. Hii mentality yenu yakusema bad boys ndio wazur inawaumiza sana, huwezi mbadilisha muhuni hata siku moja.

Unajua kabisa a boy ni muhuni lakin bado unampa moyo wako, akikuumiza unakuja kulaani wanaume wote hapa. ACHENI KUJIRAHISISHA WADADA
 
Sawa
 
Tangu nabalehe sijawahi kumtamkia mwanamke eti "nakupenda" nabsijui kama itakaa itokee
 
Ukiona umemgegeda mwanamke ukamuacha ujue hata yeye hakutaka ukae.usijione mjanja jua hubebeki jipange
Akiondoka atakusaidia kupunguza makoloni


"Scramble and partition for Africa"
 
real man....!!! mkuu tafuta hela, you will be more real.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…