Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Binafsi siaminikatika hit n run. Demu akizingua namkata kama cancer, yaani kama vile simjui. Ila sifanyii uhuni.Wakuu mmeamkaje,
Jana katika pitapita zangu, nikakutana na maoni ya GENTAMYCINE kwamba: Ukiona anamwambia mwanamke "Nakupenda" ujue ni kwa ajili ya kumpanga tuuu...lengo ni ku"hit & run".
Nikawaza hivi wanaume huwa tunaongea lugha moja?? maana hata mimi na wengine na wengine na wengine agenda ni hiyo hiyo "HIT & fuuucking RUN".
Wanawake wamekosea wapi? kwanini wasijifunze na kubadilika? Utetezi wao niliouona ni kwamba: "...ooooh, unajua sisi ni wapole sana, ndio maana hatuzungumzi wala kukosoa!"
Hapa JF nimewahi kuhoji: Uanamke ni ulemavu? maana ukimwambia ukweli mwanamke anawahi kusema unanionea kwasababu mm ni mwanamke. Ninachoamini: the only difference between men & women is only Biological...nje ya hapo wote ni watafutaji na waganga njaa.
[HASHTAG]#WanawakeBadilikeni[/HASHTAG] [HASHTAG]#KuumaSioDili[/HASHTAG]
Umetukosea adab real man ambao hatuamini ktk hit and run. Hit and run is for https://jamii.app/JFUserGuide boy, players n hoes.. real man tuna stay real na tuna amini ktk misimamo.
Kama wewe ni hit n run, hiyo ni ww, si wanaume wote.