GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mkuu,
Ieleweke kwamba mimi ndio Msemaji wako hapa JF in case unapata ajali au ukaishiwa bundle...nikikuanzishia uzi maana yake I'm on Duty. Pia wewe bosi wangu hunitendea haki, hivi unaposifia Signature yako; mbona mm Signature yangu ya mwezi jana (MV bukoba; mwana CCM aliyeshauri watoboe hatimae ikazama...hizo ndo akili za CCM) mnona hukunipongeza/kunisifia? Ni kweli you have Brand ID, chunga tu mods wasifanye yao maana wakicheleweshewa mishahara ndo huwa na hasira, hawaangalii wewe ni nani, ni mwendo wa Ban au kumger IDs.
Nimefurahi na nashukuru kwa mara ya Kwanza kumpata Msemaji wangu ambaye ameamua Kujitambulisha rasmi tofauti na wale wengine wengi ambao ni Wasemaji ' Kificho ' wangu. Ila utambue tu kwamba Mshahara wako utajilipa mwenyewe tafadhali.