Kumbe hakuna ugomvi ndani ya CHADEMA wako vizuri. CCM mjipange!

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
40,455
Reaction score
73,145
Kumbe ni kweli umekuwapo mvutano mkubwa kati ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na Makamu wake Tundu Lissu.

Lakini mvutano huo sio ugomvi kama mnavyo aminishwa na wapiga propaganda wa CCM bali ni kuwa hawajakubaliana kitu kimoja na ni kwa manufaa ya chama.

Habari kutoka chanzo cha uhakika cha ndani kabisa ni kuwa Mbowe alitaka kweli kuachia kiti na amekuwa akimshawishi Lissu akubali kugombea nafasi hiyo kuu kabisa katika chama.

Pia soma: Kuelekea 2025 - Wanachama, Viongozi CHADEMA wagawanyika kambi tofauti, hofu ya mpasuko yaongezeka

Lakini majibu ya Lissu ni kuwa yeye anaona Mbowe kwa sasa agombee tena nafasi hiyo na yeye ndio maana alitangaza mapema kutaka kugombea nafasi ya makamu mwenyekiti ili Mbowe aendelee kukiongoza chama kwenye mapambano ya katiba mpya na uchaguzi mkuu wa 2025 mwakani.

Haya malumbano ya maridhiano na Samia ni mkakati wa chama kumprove Samia kuwa aliwadanganya na amastahili aadhibiwe na wananchi.

Subirini muone tamko la chama ndio mtaamini CHADEMA imejaa watu wenye akili.

Mgogoro wa Lissu na Mbowe jiulizeni kwa nini upo kwenye maandiko ya maccm zaidi wakio gozwa na Fake pastor zaidi?
 
Kumbe ni kweli umekuwapo mvutano mkubwa kati ya Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na Makamu wake Tundu Lissu.
Lakini mvutano huo sio ugomvi kama mnavyo aminishwa na wapiga propaganda wa CCM bali ni kuwa hawajakubaliana kitu kimoja na ni kwa manufaa ya chama.
Habari kutoka chanzo cha uhakika cha ndani kabisa ni kuwa Mbowe alitaka kweli kuachia kiti na amekuwa akimshawishi Lissu akubali kugombea nafasi hiyo kuu kabisa katika chama.
Lakini majibu ya Lissu ni kuwa yeye anaona Mbowe kwa sasa agombee tena nafasi hiyo na yeye ndio maana alitangaza mapema kutaka kugombea nafasi ya makamu mwenyekiti ili Mbowe aendelee kukiongoza chama kwenye mapambano ya katiba mpya na uchaguzi mkuu wa 2025 mwakani.
Haya malumbano ya maridhiano na Samia ni mkakati wa chama kumprove Samia kuwa aliwadanganya na amastahili aadhibiwe na wananchi.
Subirini muone tamko la chama ndio mtaamini Chadema imejaa watu wenye akili.

Conflict vs dispute
 
Mzee mwenzangu Chakaza unajaribu kuziba tundu kwenye ukuta kwa kupaka rangi kila kitu kipo wazi lissu hajaombwa kama unavyojaribu kubadili mita bendi ya redio ila Lissu anajaribu kumchalenji mwenyekiti moto umewaka hakuna wa kuuzima umechelewa kiongozi labda uite faya wa australia wenye uzoefu wa kuzima moto nyikani na misitu mikubwa!
 
Mzee hiyo habari nzito itatokaje kwangu mie ni nani?
Ni nzito kama uzito wake ulivyo, za ndani hizo Mr Kipara
 
Mzee mwenzangu Chakaza unajaribu kuziba tundu kwenye ukuta kwa kupaka rangi kila kitu kipo wazi lissu hajaombwa kama unavyojaribu kubadili mita bendi ya redio ila Lissu anajaribu kumchalenji mwenyekiti moto umewaka hakuna wa kuuzima umechelewa kiongozi labda uite faya wa australia wenye uzoefu wa kuzima moto nyikani na misitu mikubwa!
TL alishaweka wazi hagombei uenyekiti ww ndo mpotoshaji
 
Kumbe ni kweli umekuwapo mvutano mkubwa kati ya Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na Makamu wake Tundu Lissu.

Lakini mvutano huo sio ugomvi kama mnavyo aminishwa na wapiga propaganda wa CCM bali ni kuwa hawajakubaliana kitu kimoja na ni kwa manufaa ya chama.

Habari kutoka chanzo cha uhakika cha ndani kabisa ni kuwa Mbowe alitaka kweli kuachia kiti na amekuwa akimshawishi Lissu akubali kugombea nafasi hiyo kuu kabisa katika chama.

Pia soma: Kuelekea 2025 - Wanachama, Viongozi CHADEMA wagawanyika kambi tofauti, hofu ya mpasuko yaongezeka

Lakini majibu ya Lissu ni kuwa yeye anaona Mbowe kwa sasa agombee tena nafasi hiyo na yeye ndio maana alitangaza mapema kutaka kugombea nafasi ya makamu mwenyekiti ili Mbowe aendelee kukiongoza chama kwenye mapambano ya katiba mpya na uchaguzi mkuu wa 2025 mwakani.

Haya malumbano ya maridhiano na Samia ni mkakati wa chama kumprove Samia kuwa aliwadanganya na amastahili aadhibiwe na wananchi.

Subirini muone tamko la chama ndio mtaamini Chadema imejaa watu wenye akili.

Mgogoro wa Lissu na Mbowe jiulizeni kwa nini upo kwenye maandiko ya maccm zaidi wakio gozwa na Fake pastor zaidi?
Habari kutoka chanzo cha uhakika cha ndani kabisa ni kuwa Mbowe alitaka kweli kuachia kiti na amekuwa akimshawishi Lissu akubali kugombea nafasi hiyo kuu kabisa katika chama.📌🔨
 
Samia hatakiwi kabisa na maccm yote ya bara. Ndiyo maana ameteua afisa usalama mkuu ambaye ni mzanzibari mwenzake, mbadala wa Kinana alitaka kumteua Masauni, maccm bara yakamweleza hiyo ninkinyume cha katiba ya ccm.

Hivyo.wnapanga kuitisha kikao cha ccm ili kubadili kanuni za chama halafu amteue mbadala wa Kinana kutoka visiwani.

Mgogoro ni mkubwa sana ndani ya ccm.
 
Mzee mwenzangu Chakaza unajaribu kuziba tundu kwenye ukuta kwa kupaka rangi kila kitu kipo wazi lissu hajaombwa kama unavyojaribu kubadili mita bendi ya redio ila Lissu anajaribu kumchalenji mwenyekiti moto umewaka hakuna wa kuuzima umechelewa kiongozi labda uite faya wa australia wenye uzoefu wa kuzima moto nyikani na misitu mikubwa!
Naona huo "moto nyikani" mnausubiri kwa hamu sana huko mliko.
Inawezekana sana mbinu zenu za kuua vyama vya upinzani safari hii zikagonga ukuta!
 
Samia hatakiwi kabisa na maccm yote ya bara. Ndiyo maana ameteua afisa usalama mkuu ambaye ni mzanzibari mwenzake, mbadala wa Kinana alitaka kumteua Masauni, maccm bara yakamweleza hiyo ninkinyume cha katiba ya ccm.

Hivyo.wnapanga kuitisha kikao cha ccm ili kubadili kanuni za chama halafu amteue mbadala wa Kinana kutoka visiwani.

Mgogoro ni mkubwa sana ndani ya ccm.
Hao CCM wa Tanganyika ambao bado hawaoni Tanganyika lina fanywa koloni la Zanzibar watatoka usingizini lini?
Huko ndani ya CCM ni lazima pawemo na migogoro, kwa hali hii iliyopo nchini sasa. Zanzibar kumetulia na serikali yake, vurugu zote zinafanywa Tanganyika na kuwaumiza waTanganyika.

Sasa kama wewe ni CCM unanufaika na kuwa ndani ya chama hicho na kufanya maamuzi ya kuwaumiza wenzio, liataachaje kukuumiza akili.
 
Back
Top Bottom