Kumbe hakuna ugomvi ndani ya CHADEMA wako vizuri. CCM mjipange!

Vyovyote vile ambavyo itakuwa, CDM kama chama kikuu cha upinzani itabidi ifanye uchaguzi wa mwaka 2025 ili kirejee katika hadhi yake.

CCM inatuchukulia poa sanq, ndiyo inatuchukulia kihurahisi katika kila aina ya uchaguzi unaofanyika. Ni lazima sasa wajifunze na kuzielewa kanuni zote za uchaguzi kabla ya kufanya uchafuzi wao

Wakati umefika sasa kwa wao kumwaga ugali, nasi tumwage mboga ili heshima iwepo. Ni upuuzi na upumbavu mtu kila siku kulalamuka juu ya matendo yao ya kifedhuli wanayozidi kuyafanya.
 
Habari kutoka chanzo cha uhakika cha ndani kabisa ni kuwa Mbowe alitaka kweli kuachia kiti na amekuwa akimshawishi Lissu akubali kugombea nafasi hiyo kuu kabisa katika chama.📌🔨
Thanks Mshana Jr kwa kupiga nyundo maana imesaidia wale kina Tomaso kuamini
 
Mkuu Kalamu yaani nawashanga hata hao mawaziri walio BLM wanashindwa kumkatalia huu ujinga wa kufuta sherehe za uhuru wetu wa Tanganyika?
Ndio shida ya mawaziri wa "yes boss"
 
CCM Tanganyika wameshafanywa Mazezeta na CCM Zanzibar.
 
Mkuu Kalamu yaani nawashanga hata hao mawaziri walio BLM wanashindwa kumkatalia huu ujinga wa kufuta sherehe za uhuru wetu wa Tanganyika?
Ndio shida ya mawaziri wa "yes boss"
Baraza la Akina Kabudi hilo!
Katika hali ya kawaida kabisa unge tegemea mtu kama Kabudi angekuwa anasema jambo na kila mtu ndani ya baraza ange sikiliza, hata mwenyekiti wao! Lakini sasa angalia anavyo dhalilishwa!
 
Mbowe abaki MKiti na Tundu Lissu abaki Makamu MKiti na Mgombea Urais 2025. John Heche awe Katibu Mkuu na Mnyika awe msemaji wa Chama. Tundu Lissu atapambana kwenye Urais 2025 na Mgombea Urais Mwanaume Kijana kutoka CCM.
 
Naona huo "moto nyikani" mnausubiri kwa hamu sana huko mliko.
Inawezekana sana mbinu zenu za kuua vyama vya upinzani safari hii zikagonga ukuta!
Menyewe kwa menyewe alisikika mzee patel washaanza kugombea fito hao!
 
Aliekuwa mbunge na meya wa Moshi,jafari Maiko,nae ni CCM?
 
Thubutu! Labda umdanganye Erythrocyte!
 
Lisu alishasema kuwa hawezi kugombea Uenyekiti kupingana na Mbowe....
 

Attachments

  • Tundu Lissu- 'Mimi sina Mpango wa kugombea uenyekiti wa CHADEMA, hakuna Mvutano kati yangu na ...mp4
    7.1 MB
CCM DAIMA
 
CCM DAIMA
 
Labda ACT ndo wajipange ila Sio Ccm
Wacha mihemko Ccm iko hatua 1000 mbele yenu mkijifanya mnaugomvi yenyewe inajua ata kabla hamjagombana
 
Ata tukipiga kula za kupanga msitari Lissu hawezi mshinda Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…