Bukali
JF-Expert Member
- May 7, 2018
- 1,264
- 835
Acha uongo majuto yako usifananishe na wengineUkimuangalia vizuri Senzo anaonekana ni mtu mwenye majuto na msongo mwingi wa mawazo, surely anajutia maamuzi ya kuikacha Simba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo majuto yako usifananishe na wengineUkimuangalia vizuri Senzo anaonekana ni mtu mwenye majuto na msongo mwingi wa mawazo, surely anajutia maamuzi ya kuikacha Simba.
Wewe ndo kilaza kabisa acha tukusaidie tz ya leo lazima ubadirishe kila kitu ndo uendelee na utaratibu ndo maana arirudi kwa baada ya mda akaja kuanza majukumu yake pale Yanga. Acha kukurupuka.Jinsi alivyoacha kazi alionyesha ni popoma bahati amewakuta simba wastaarabu wakitaka kumfanyizia wanaweza mpaka sada hivi work permit na resident permit zinasomeka simba ameonyesha ni zaidi ya kilaza
Hivi ni kweli Simba haina mafanikio? Vipi wale watembeza bakuli ambao wako mbali na mafanikio?wao toka enzi za Abasi Tarimba walijaribu kutaka kubadili mfumo wa uendeshaji wa klabu ya Yanga,lakini walishindwa sababu watu kuendekeza matumbo yao,wapi yanga AsILi ya mzee Yusufu Mzimba? Wapi yanga kampuni ya George Mpondera? unajua kwanini yanga kampuni hakufanikiwa?Kiroho Safi wapongeze SiMba kwa kufanikiwa kuwa ktk mstari wa kuelekea kwenye mabadiriko ya uendeshaji wa klabu yao,sisi tuendeleee kuwabeza kwenye mitandao,lakini wanatuacha kwenye maendeleo ya uendeshaji wa klabu yao.Ivi mbumbumbu fc Nani amewaloga, Simba inamafanikio gani? Simba mbaka Sasa haina mafanikio yoyote imebadilisha mfumo lakini hakuna namna yoyote inayo onyesha klabu inajitegemea. Simba inamtegemea 99% MO. Simba ni tegemezi haina vyanzo vyake vya Mapato ambavyo vinaweza kuindesha timu ata kwa mwezi mmoja.Kama Kuna mtu anaweza kunifafanulia mafanikio ya Simba kujikomboa ki uchumi tafadhali anifafanulie.
Wabwekaji tumbili fcMikia fc buana.
Mikia fc buana.
Wewe ni nyani uneducated unabweka kama mbwa ulisikia magoli alisemaje vibali vyake wanavyo Simba subirini tuwape kibano October mtafute sababu nyingine ya kufungwaWewe ndo kilaza kabisa acha tukusaidie tz ya leo lazima ubadirishe kila kitu ndo uendelee na utaratibu ndo maana arirudi kwa baada ya mda akaja kuanza majukumu yake pale Yanga. Acha kukurupuka.
Simba isingekuwa na mafanikio wasingekimbilia kumwajili Senzo walifiri ndio chachu ya mafanikio kumbe hata yeye aliyakutaHivi ni kweli Simba haina mafanikio? Vipi wale watembeza bakuli ambao wako mbali na mafanikio?wao toka enzi za Abasi Tarimba walijaribu kutaka kubadili mfumo wa uendeshaji wa klabu ya Yanga,lakini walishindwa sababu watu kuendekeza matumbo yao,wapi yanga AsILi ya mzee Yusufu Mzimba? Wapi yanga kampuni ya George Mpondera? unajua kwanini yanga kampuni hakufanikiwa?Kiroho Safi wapongeze SiMba kwa kufanikiwa kuwa ktk mstari wa kuelekea kwenye mabadiriko ya uendeshaji wa klabu yao,sisi tuendeleee kuwabeza kwenye mitandao,lakini wanatuacha kwenye maendeleo ya uendeshaji wa klabu yao.
Hakuna shabiki aliyelialia halafu elewa mabadiriko ya simba ni ya kisheria sio kama nyinyi mlikuwa mkikesha jangwani kumsubiri manji arudiSimba ili ionekane inamafanikio inatakiwa iwe na uwezo wa kujiendesha yenyewe. Sasa unakumbuka MO alivyotishia kujitoa kilicho tokea, mashabiki walikua wanalia. Simba imefanya transformation ya kwenye makaratasi tu haina uwezo wa kujiendesha.
Wewe umeona jd yake aliyopewa na yanga?
mkuu ungejibu swali, je, simba akiondoka MO leo ina uwezo wa kujiendesha? hilo ndio swali linalohitaji majibuHivi ni kweli Simba haina mafanikio? Vipi wale watembeza bakuli ambao wako mbali na mafanikio?wao toka enzi za Abasi Tarimba walijaribu kutaka kubadili mfumo wa uendeshaji wa klabu ya Yanga,lakini walishindwa sababu watu kuendekeza matumbo yao,wapi yanga AsILi ya mzee Yusufu Mzimba? Wapi yanga kampuni ya George Mpondera? unajua kwanini yanga kampuni hakufanikiwa?Kiroho Safi wapongeze SiMba kwa kufanikiwa kuwa ktk mstari wa kuelekea kwenye mabadiriko ya uendeshaji wa klabu yao,sisi tuendeleee kuwabeza kwenye mitandao,lakini wanatuacha kwenye maendeleo ya uendeshaji wa klabu yao.
mkuu ungejibu swali, je, simba akiondoka MO leo ina uwezo wa kujiendesha? hilo ndio swali linalohitaji majibu
Kwa akili yako unadhani consultant anafanya ka i bila ya kuwa na t.o.r?,kwamba anatangazwa tu na kuanza kazi?,lazima kapewa timeframe,kapewa deliverables,na kapewa modalities na remuneration,acha ujuhaPumbavu Yanga SC tena kupitia Mwenyekiti Wao Mshindo Msola jana katika 'Press' yao wamemtangaza atakuwa ni 'Consultant' tu pekee au haujui?
Kwa akili yako unadhani consultant anafanya ka i bila ya kuwa na t.o.r?,kwamba anatangazwa tu na kuanza kazi?,lazima kapewa timeframe,kapewa deliverables,na kapewa modalities na remuneration,acha ujuha
Unajua juha siku zote hujiona mkamilifu,kamsalimie moKajifunze Kwanza Kuandika vyema kisha ukishajua ndipo urudi tena Kwangu kwa Majibizano ya Hoja sawa? Uandishi wako umekaa Kipopoma mno.
Unajua juha siku zote hujiona mkamilifu,kamsalimie mo
Mara nyingi hamnazo hukimbilia kubwabwaja tu,lakini hana hoja yoyote yenye maanaMpaka umerudi kwa 'Mapovu' hivi Kwangu umeshathibitisha kuwa 'Sindano' yangu yenye 'Dozi' Kali Kwako 'imeshakuingia' vilivyo na sasa Unapona.
Kenge tu flani mimi siyo Mbumbumbu kama wewe.Wewe ni nyani uneducated unabweka kama mbwa ulisikia magoli alisemaje vibali vyake wanavyo Simba subirini tuwape kibano October mtafute sababu nyingine ya kufungwa