Sasa tunasikia hata CCM wana...nya mbovu,kila kitu wanaponda na zaidi wanadai wabunge wale na madiwani wale waliopita uchaguzi mkuu wa 2020 si chaguo lao na yote yanayoanikwa na kuzidi kuanikwa sio ya kwao.
wanadai mbona siku hizi hatumsikii tena Bwana Polepole amekuwa Bwana Kimyakimya na yule mwenziwe ambae anakula dawa za kuzuia presha ,wametoweka katika vipaza sauti.
Wale wabunge wa ni wabunge wasio na ridhaa ya wananchi na ndio ukaona wengi wao hawana elimu ya kutetea chochote mle ndani wapo wapo watu wakipiga makofi na wao wanapiga,
Bunge la mwaka huu ni hasara kwa Taifa.