Hakika umenena ukwl yapo mazuzu mengi kwlSasa tunasikia hata CCM wana...nya mbovu,kila kitu wanaponda na zaidi wanadai wabunge wale na madiwani wale waliopita uchaguzi mkuu wa 2020 si chaguo lao na yote yanayoanikwa na kuzidi kuanikwa sio ya kwao.
wanadai mbona siku hizi hatumsikii tena Bwana Polepole amekuwa Bwana Kimyakimya na yule mwenziwe ambae anakula dawa za kuzuia presha ,wametoweka katika vipaza sauti.
Wale wabunge wa ni wabunge wasio na ridhaa ya wananchi na ndio ukaona wengi wao hawana elimu ya kutetea chochote mle ndani wapo wapo watu wakipiga makofi na wao wanapiga,
Bunge la mwaka huu ni hasara kwa Taifa.
Sasa tunasikia hata CCM wana...nya mbovu,kila kitu wanaponda na zaidi wanadai wabunge wale na madiwani wale waliopita uchaguzi mkuu wa 2020 si chaguo lao na yote yanayoanikwa na kuzidi kuanikwa sio ya kwao.
wanadai mbona siku hizi hatumsikii tena Bwana Polepole amekuwa Bwana Kimyakimya na yule mwenziwe ambae anakula dawa za kuzuia presha ,wametoweka katika vipaza sauti.
Wale wabunge wa ni wabunge wasio na ridhaa ya wananchi na ndio ukaona wengi wao hawana elimu ya kutetea chochote mle ndani wapo wapo watu wakipiga makofi na wao wanapiga,
Bunge la mwaka huu ni hasara kwa Taifa.
Wabunge wengi sana wa bunge la sasa hivi ni chaguo la mwenyekiti wa chama.Sasa tunasikia hata CCM wana...nya mbovu,kila kitu wanaponda na zaidi wanadai wabunge wale na madiwani wale waliopita uchaguzi mkuu wa 2020 si chaguo lao na yote yanayoanikwa na kuzidi kuanikwa sio ya kwao.
wanadai mbona siku hizi hatumsikii tena Bwana Polepole amekuwa Bwana Kimyakimya na yule mwenziwe ambae anakula dawa za kuzuia presha ,wametoweka katika vipaza sauti.
Wale wabunge wa ni wabunge wasio na ridhaa ya wananchi na ndio ukaona wengi wao hawana elimu ya kutetea chochote mle ndani wapo wapo watu wakipiga makofi na wao wanapiga,
Bunge la mwaka huu ni hasara kwa Taifa.
Kwa kushirikiana na mwenyekitiNi Bora tujiongoze na kujiwakilisha wenyewe kuliko kuwakilishwa na mbunge kama BABU TALE..
alaaniwe Sana bashiru Kwa kutuletea hawa wajinga wenzake
Hiyo inaitwa Bora liendeNdungai alisema wakati wa uchaguzi “CCM hatuhitaji watu makini sana, tunahitaji 3/4 ya wabunge wote ili waweke kupitisha hoja”.
Hakuna bunge kuna genge la wahuni tu hapoSasa tunasikia hata CCM wana...nya mbovu,kila kitu wanaponda na zaidi wanadai wabunge wale na madiwani wale waliopita uchaguzi mkuu wa 2020 si chaguo lao na yote yanayoanikwa na kuzidi kuanikwa sio ya kwao.
wanadai mbona siku hizi hatumsikii tena Bwana Polepole amekuwa Bwana Kimyakimya na yule mwenziwe ambae anakula dawa za kuzuia presha ,wametoweka katika vipaza sauti.
Wale wabunge wa ni wabunge wasio na ridhaa ya wananchi na ndio ukaona wengi wao hawana elimu ya kutetea chochote mle ndani wapo wapo watu wakipiga makofi na wao wanapiga,
Bunge la mwaka huu ni hasara kwa Taifa.
Hapo Babati kwamfano,kura za maoni alishinda mtu mwingine Bashiru akahakikisha anampigia pande Paulina Gekul awe mgombea.Hakuna bunge kuna genge la wahuni tu hapo
Ndungai alisema wakati wa uchaguzi “CCM hatuhitaji watu makini sana, tunahitaji 3/4 ya wabunge wote ili waweke kupitisha hoja”.
AlishamtafunaHapo Babati kwamfano,kura za maoni alishinda mtu mwingine Bashiru akahakikisha anampigia pande Paulina Gekul awe mgombea.
Sijui alipewa nini mzee wa watu!
Nadhani nia ya Poleple na Bashiru kuingia bungeni ni kwa sababu watahitajika katika mambo mengi ukijumlisha na ya katiba, huenda wakati wowote jambo la katiba linaweza kuanza, hivyo tusubiri. Kwa bahati mbaya hatuna vile vichwa vya upinzani vya wakina Zito, Lisu, Mbowe, Mbatia n.k.Sasa tunasikia hata CCM wana...nya mbovu,kila kitu wanaponda na zaidi wanadai wabunge wale na madiwani wale waliopita uchaguzi mkuu wa 2020 si chaguo lao na yote yanayoanikwa na kuzidi kuanikwa sio ya kwao.
wanadai mbona siku hizi hatumsikii tena Bwana Polepole amekuwa Bwana Kimyakimya na yule mwenziwe ambae anakula dawa za kuzuia presha ,wametoweka katika vipaza sauti.
Wale wabunge wa ni wabunge wasio na ridhaa ya wananchi na ndio ukaona wengi wao hawana elimu ya kutetea chochote mle ndani wapo wapo watu wakipiga makofi na wao wanapiga,
Bunge la mwaka huu ni hasara kwa Taifa.
Hapo Babati kwamfano,kura za maoni alishinda mtu mwingine Bashiru akahakikisha anampigia pande Paulina Gekul awe mgombea.
Sijui alipewa nini mzee wa watu!
Mkuu mbona unauliza ndevu kwa Osama?yani hujui anapata nini kwa huyo dada?Hapo Babati kwamfano,kura za maoni alishinda mtu mwingine Bashiru akahakikisha anampigia pande Paulina Gekul awe mgombea.
Sijui alipewa nini mzee wa watu!
Bashiru hii dahambi itamtafuna kwa maisha yake yote yaliyibakia hapa duniani.Sio wengi....wabunge wote hawana ridhaa ya wananchi so ni genge tu la kihalifu la ccm linashikilia madaraka kwa nguvu ya dola km alivoagiza Bashiru
Mungu ametuepusha
Nadhani nia ya Poleple na Bashiru kuingia bungeni ni kwa sababu watahitajika katika mambo mengi ukijumlisha na ya katiba, huenda wakati wowote jambo la katiba linaweza kuanza, hivyo tusubiri. Kwa bahati mbaya hatuna vile vichwa vya upinzani vya wakina Zito, Lisu, Mbowe, Mbatia n.k.
Kwa rai yangu naomba swala la katiba mpya lisijadiliwe kwa sasa mpaka kwanza kuwepo na uchaguzi huru na wa haki ambao utawapeleka wabunge waliyopata ridhaa halali kutoka kwa wananchi. Kwa sasa watanzania wadai tume huru.