Aisee kazi tunayo, ndio maana wengi wao mpaka wanaume ni mabingwa wa mipasho.Ndungai alisema wakati wa uchaguzi “CCM hatuhitaji watu makini sana, tunahitaji 3/4 ya wabunge wote ili waweke kupitisha hoja”.
That is too harsh, sisi binadamu huwa tunabadilika ili mradi tupate element za mabadiliko na kwa kweli baada ya mama kushika usukani wengi tunaona kuna mabadiliko kwa kiasi fulani pamoja na kuwa never trust politicians lakini kuna new hope ambayo wale wote ambao walifuata mkumbo kwa njia moja ama nyingine katika kuwadhulumu wenzi wao wanarejea kwenye haki.Ukiitishwa uchaguzi huru na wa haki utaniTAG, nadhan uko 2070.
Ila kwa sasa lzm tuandamane tukalichome bunge ikibidi ndugai tumchukue na kumuhasi kende zake.
Mambo ni mengi,ndio maana nimeshindwa kubaini kipi hasa jamaa kapewa.Mkuu mbona unauliza ndevu kwa Osama?yani hujui anapata nini kwa huyo dada?
Kuna siku nilikuwa nipo Babati jumapili nilienda kanisani pale babati kwa bahati mbaya tulikaa karibu sana hivyo yukapata wakati wa kuzungumza.Mambo ni mengi,ndio maana nimeshindwa kubaini kipi hasa jamaa kapewa.
Ile mh. mrembo sana...