GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Haya Watanzania Wote hasa hasa wale Mashabiki wa Makafara FC mlioko Jijini Kigali nchini Rwanda mmeombwa Kujitokeza ili Kuchangia Damu Jini letu lifurahi na baadae tutaenda kutoa Misaada kwa Watoto Yatima ( hasa Wadogo wasio na Dhambi zozote bado ) ili kupata Baraka zao ili Mwarabu Afe / Aumie Kesho.
Na nilivyosikia tu kuwa Beki Wetu ( ambaye tulipokuwa na Mchezo muhimu wa Kimaamuzi tulishinda kama ilivyokuwa kwa Mpayukaji nae kupatwa na tatizo tulishinda Kimataifa ) kuwa haendi kwakuwa kapatwa na tatizo Binafsi ( ambalo Wadau tunafichwa ) nikajua tu kuwa ni muendelezo ule ule wa Ushirikina na Masharti ya Mganga wetu HATARI wa Mkoani Mtwara na ambaye pia ni Mjomba wake Kiongozi wa Walio Ndola Zambia anayeongoza kwa Kuchukiwa na kutoaminika na Wanachama, Mashabiki na Wapenzi.
Kwa Kafara hili Mwarabu anakufa.
ANGALIZO
Ukijijua tu HUMPENDI na UNAMCHUKIA mno GENTAMYCINE na HUMKUBALI wala HUVUTIWI na MADA ( THREADS ) zake Kutwa hapa JamiiForums cha kufanya ni KUACHANA nae au MBLOKU ( IGNORE ) na endelea KUWASOMA MEMBERS wako ambao UNAWAPENDA, UNAWAKUBALI na unawaona ni BORA KWAKO na uniachie / uwaache wale MEMBERS Wanaonielewa waendelee KUHABARIKA, KUELIMIKA na KUBURUDIKA nami hapa JamiiForums.
Kitendo cha Kujijua huwa HUNIPENDI, HUNIKUBALI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI Wangu hapa JamiiForums halafu bado tena UNAWASHWAWASHWA nami kama MBWA JIKE anayetaka KUPANDWA kunaonyesha kuwa UNANIKUBALI ( UNANIPENDA ) hadi KUMOYO na huku KUNICHUKIA Kwako ni KUZUGA tu.
Na bahati nzuri au mbaya nikianzisha MADA ( THREAD ) hapa huwa SIMUITI au SIMLAZIMISHI Mru Kusoma hivyo sitaki SHOBO za ki MAGOMENI MAPIPA KWA MACHENI.
Nimemaliza.