Kumbe hata Ulaya hakuna Uhuru wa kutoa Maoni, Wanaounga mkono Hamas na kuikosoa Israel wanapigwa rungu

mnaanzishaga ugomv , mkidundwa mnaanza tafuta mchaw huko mbali wkt uchawi ni ujinga wenu
Nani kavamia nchi ya watu? Mayahudi wameketwa pale na magharibi ili wakalie ardhi yao
 
Ulaya ipi? Umoja wa ulaya wanalitambia kundi la kigaidi hamas, sasa wanaounga mkono magaidi unadhani watapewa nafasi?
 
Ulaya leo Jumamosi kuna maandamano miji mikuu yote kuwaunga mkono Wapalestina.

Tofautisha kati ya Hamas na Wapalestina.

Hata Tanzania hatuwaungi mkono Hamas bali tunawaunga mkono Wapalestina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…