chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,834
- 26,217
Wakuu...
Kumbe wala hatuhitaji Katiba Ili kuiondoa CCM madarakani kama tulivyokuwa tukiaminishwa,.
Pamoja na Katiba mbovu tuliyo nayo sasa bado CCM wanaweza kung'oka madarakani , Tatizo letu ni Viongozi waroho wa Fedha na vyeo ndio wanaotuponza , wao ndio wanatukwamisha maana wamekubali kunyamazishwa na vipande vya Fedha.
CHADEMA hawana shukrani, Mzee Warioba na Uzee wake na hakuna alichokosa kwenye maisha yake hapumziki kila siku anapambania wajinga na wachumia tumbo akifikiri kuwa Tatizo ni Katiba.
Nafikiri CHADEMA na Vyama vingine vinavyonyamazishwa kwa Fedha wanapaswa kumuomba radhi Mzee wa watu.
Mzee wa watu mpaka akapigwa makofi na Muhuni kwenye Bunge la Katiba kwa sababu ya kuwapambania wachumia tumbo. This is bullshit!!
Lisu Mwenyekiti ajaye CHADEMA