Kumbe hawa TMA Stars FC ni Wajeda watupu? Ebhana wako Fiti na wanacheza Physical ile mbaya. Kazi tunayo leo

Kumbe hawa TMA Stars FC ni Wajeda watupu? Ebhana wako Fiti na wanacheza Physical ile mbaya. Kazi tunayo leo

Wamewamudu Simba wamefungwa kwa makosa yao wenyewe ile faulo na kujifunga. Lile shuti la Isabilo lingeingia nyavuni nadhani ingehamsha hari na kuona wanaweza kukomboa goli lililobakia na kwenda kwenye penati
 
Back
Top Bottom