Wamewamudu Simba wamefungwa kwa makosa yao wenyewe ile faulo na kujifunga. Lile shuti la Isabilo lingeingia nyavuni nadhani ingehamsha hari na kuona wanaweza kukomboa goli lililobakia na kwenda kwenye penati