Kaka Pekee
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 336
- 564
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote wezi tu "... wapo hapa africa kwaajili ya kutudumaza zaidi kiuchumi tusi stawi . Hakuna hata mwenye nafuu ..hizo pesa wanazo zitoa huwa hawazitoi bure " mikopo yake inariba kubwa ya hali ya juu na inapotokea tukashindwa kulipa basi huwa wana tuambia tuwapatie vitalu vyetu vya mali asili " wavitumie kuvuna mali zetu ili waweze kulipa deni. Lao "Ulikuwa hujui,,, wachina kazi yao ni kuiba na ni walaghai [emoji648]
Mchina Anasaidia Ujenzi Wa Miundombinu Kwa Gharama Nafuu
Hahaa ndio maneno yao hayo wanayolishwa "...., shauri zao " mchina hana msalie mtume wakishindwa kulipa madeni ana chukua tu nchiWho told you kwa gharama nafuu?
Wanajua publicity hukumbuki yale magazeti ya watu wa China?mchina anatoa kidogo sana lakini kwa bwebwe nyingi, kuanzia ngoma za asili, hotuba za viongozi na propaganda nyingine. USA na EU ndio watoaji wakubwa kabisa wa misaada nchini, kuna watu humu jukwaani huwa wanajidanganya kuwa sisi ni "masikini jeuri" lakini kiukweli hatuna jeuri yoyote. wale jamaa wakiamua kukata misaada yote basi serikali itaanguka ndani ya miezi michache tu na ikiwezekana hata mapinduzi yanaweza fanyika.
Nina ndugu ambaye anatumia dawa hizo, huwa akienda kila mwezi kuchukua dawa BURE. Nikuhakikishie kwa hilo. Kuna baadhi ya sehemu hulipia 8000 elfu nane kumuona daktari kupima na kujua maendeleo yao kabla ya kupewa dawa lakini kwa upande wa dawa ni bure kabisa.Wote wezi tu "... wapo hapa africa kwaajili ya kutudumaza zaidi kiuchumi tusi stawi . Hakuna hata mwenye nafuu ..hizo pesa wanazo zitoa huwa hawazitoi bure " mikopo yake inariba kubwa ya hali ya juu na inapotokea tukashindwa kulipa basi huwa wana tuambia tuwapatie vitalu vyetu vya mali asili " wavitumie kuvuna mali zetu ili waweze kulipa deni. Lao "
Hata hizo ARVs hazitolewi bure kama ambavyo tunavyo ongopewa ..
Rudi kwenye bajeti ya serikali Angalia upande wa UKIMWI inatoa kiasi gani na si yote hutolewa kama unavyojua ndio utapata jibu...Fanya homework kidogoHiyo 80% sikubalini nayo
Kuna moja ya nchi jirani ukanda huu wamechukua Uwanja wa Ndege Zambia China to take over Zambian international Airport for debt repayment default; neocolonialism?Hahaa ndio maneno yao hayo wanayolishwa "...., shauri zao " mchina hana msalie mtume wakishindwa kulipa madeni ana chukua tu nchi
Mkuu dawa wananchi tunapewa bure " lakini serikali inanunua " Uko kwenye dunia ya ngapi chief"!!?.... hayo madawa ni biashara kubwa sana ya USA ambayo ina changia kulinyanyua taifa lao kiuchumi . Na ikitokea ukajifanya wewe raisi unapinga hautaki kununua " Utaundiwa zengwe mpaka utolewe madarakani".....Nina ndugu ambaye anatumia dawa hizo, huwa akienda kila mwezi kuchukua dawa BURE. Nikuhakikishie kwa hilo. Kuna baadhi ya sehemu hulipia 8000 elfu nane kumuona daktari kupima na kujua maendeleo yao kabla ya kupewa dawa lakini kwa upande wa dawa ni bure kabisa.
Haahaa hawajui hawa".... USA anaivuna hii nchi tangu inapata uhuruKazi anayoifanya Marekani hapa nchini si ya kitoto.
Hahaa zimbambwe ndio " pia wame waajiri maafisa wa usalama toka chinaKuna moja ya nchi jirani ukanda huu wamechukua bandari...ni zimbabwe au kitu kama hicho
Pumbavu sana sisi Waafrika!Hahaa zimbambwe ndio " pia wame waajiri maafisa wa usalama toka china
Zimbabwe kuna bandari? Katika kingo za mto Zambezi au? Kweli tuna safari ndefuKuna moja ya nchi jirani ukanda huu wamechukua bandari...ni zimbabwe au kitu kama hicho