Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Ni muda mrefu nilikuwa nasikia jamaa kwenye viglossary wakilalama juu ya nyota ya Diamond kuwa ni ngekewa. Wengine walithubutu kusema kuwa waha (wakazi na kabila la watu wa Kigoma) ndivyo walivyo, hawawezi kufanya kitu bila kuroga. Haya yote yalisemwa baada ya mwanamuziki fulani kulalamika kuwa anarogwa na Diamond na wiki iliyopita mganga wa Diamond akaandikwa magazetini kuwa anamlalamikia Diamond kwa kumsahau. Kumbe huyu jamaa ni mchawi?