kibol
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 4,521
- 2,747
Ni muda mrefu nilikuwa nasikia jamaa kwenye viglossary wakilalama juu ya nyota ya Diamond kuwa ni ngekewa. Wengine walithubutu kusema kuwa waha (wakazi na kabila la watu wa Kigoma) ndivyo walivyo, hawawezi kufanya kitu bila kuroga. Haya yote yalisemwa baada ya mwanamuziki fulani kulalamika kuwa anarogwa na Diamond na wiki iliyopita mganga wa Diamond akaandikwa magazetini kuwa anamlalamikia Diamond kwa kumsahau. Kumbe huyu jamaa ni mchawi?
muacheni achume jasho lako,wanaosema karoga ni wivu unawasumbua,kijana kaja kipindi muziki unalipalipa sasa kwa nini asifanikiwe?mbona ata akina Edibil Lunyamila na Sekilojo Chambua pamoja na umahiri wao ktk soka hawana mafanikio ya vijana wa kileo kama akina Mrisho Ngassa?nao ni uchawi?acheni majungu yenu