Kumbe Haya Ya Diamond Platinumz Ni Ya Kweli!

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Posts
9,836
Reaction score
7,231
Ni muda mrefu nilikuwa nasikia jamaa kwenye viglossary wakilalama juu ya nyota ya Diamond kuwa ni ngekewa. Wengine walithubutu kusema kuwa waha (wakazi na kabila la watu wa Kigoma) ndivyo walivyo, hawawezi kufanya kitu bila kuroga. Haya yote yalisemwa baada ya mwanamuziki fulani kulalamika kuwa anarogwa na Diamond na wiki iliyopita mganga wa Diamond akaandikwa magazetini kuwa anamlalamikia Diamond kwa kumsahau. Kumbe huyu jamaa ni mchawi?
 
Sio Diamond tu, watu wengi sana hasa wanasiasa, maofisini ya umma, ya sekta binafsi haya mambo wanafanya. Kila m2 na siri yake..... Bila huyo ustaadhi kuibuka nani angejua?
 
Unajuaje kama si njama za wapinzani wake kumchafua jina?

Unaamini kila unachosoma?
 
njia ya kumchafua tu.huyo aliyesema analogwa alijuaje kama ni daimond.kila mtu akifanikiwa utasikia mchawi.miafrika ndivyo yalivyo.nyani ngabu
 
Hata huko mnakula kwa mama ntilie ndio washirikina wakubwa...mnakula uchafu sana.
Unaweza kuta mdada mrembo sana lkn kagua pochi yake..utakumbana na mahiriz ya ajabu..Kwa tz uchawi upo sana.
 
Mimi ninavyowajua wa TZ asilimia 80 ni washirikina
kiasi uhalali wa mmoja kumnyooshea kidole mwingine haupo kabisa
zaidi ya wivu na chuki na fitina

is it that bad? I mean, huwa sielewi mtu anaamini vipi uganga against all odds. Mmmppphhheeewww, 80%!!!!
 
is it that bad? I mean, huwa sielewi mtu anaamini vipi uganga against all odds. Mmmppphhheeewww, 80%!!!!

Actually ililetwa report humu ni asilimia 94
muulize EMT
 
Last edited by a moderator:
Reactions: EMT
inawezekanaa sana ikawa kweli maana machawi nayo hayako nyuma hapa bongo
 
Kawaida mwanga ndo hulalamika kuwa anawangiwa.
 
Hata huko mnakula kwa mama ntilie ndio washirikina wakubwa...mnakula uchafu sana.
Unaweza kuta mdada mrembo sana lkn kagua pochi yake..utakumbana na mahiriz ya ajabu..Kwa tz uchawi upo sana.

kweli kabisa kuna siku nilikuwa nimekaa mahali na mshua tunapiga kitu white meat (NOAH) kulikuwa na mama mmoja kigogo wa serikali. nilishangaa!!!

Mama: naomba mnipe mifupa 4, coz ile niliyo yayo imeisha nguvu.
mimi: nguvu gani tena mama?

Mama: Mwanangu wewe nyumba unayoishi unailindaje?

Ili kunionyesha anachoongea yupo siriaz, alichukua pima joto lake akafungua kiwaleti na kuonyesha vipande 2 vya mifupa ya mnyama!! mtumeeeee

Mama: Hii ni kiboko, hapa hasogei mtu, mwanangu chukua miwili ukaweke chin ya mto!!

nilishindwa kushangaa
 
haya maneno ya watu bwana .... kwa hiyo rule jamaa aliyeimba sijui nini kapanda baiskeli nae nilikuwa mchawi na sasa umekisha nae kapotea, nimekumbuka anaitwa Mr. Nice...
 
Hata huko mnakula kwa mama ntilie ndio washirikina wakubwa...mnakula uchafu sana.
Unaweza kuta mdada mrembo sana lkn kagua pochi yake..utakumbana na mahiriz ya ajabu..Kwa tz uchawi upo sana.

Wanasema,eti vijiko vikubwa vya kupakulia ni mikono ya watu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…