Kumbe Haya Ya Diamond Platinumz Ni Ya Kweli!


muacheni achume jasho lako,wanaosema karoga ni wivu unawasumbua,kijana kaja kipindi muziki unalipalipa sasa kwa nini asifanikiwe?mbona ata akina Edibil Lunyamila na Sekilojo Chambua pamoja na umahiri wao ktk soka hawana mafanikio ya vijana wa kileo kama akina Mrisho Ngassa?nao ni uchawi?acheni majungu yenu
 
Sio Diamond tu, watu wengi sana hasa wanasiasa, maofisini ya umma, ya sekta binafsi haya mambo wanafanya. Kila m2 na siri yake..... Bila huyo ustaadhi kuibuka nani angejua?
Hivimafanikio waliyokuwa nayo kina marehem michael jackson or ruck dube yaliboostiwa na waganga wa jadi eti?
achen ujnga,huyo mganga ndiye anayemwandikia diamond mashairi mazuri na kupendwa?ndiye anaeitengeneza saut ya diamond?ndiye anaewashawish waandaaji wa matamasha wamtumie zaid diamond?TUNGEKUWA HATUZION JUHUD BINAFSI AZIFANYAZO DIAMOND MPAKA KUWA HIVYO ALIVYO KIDOGO TUNGEELEWA VINGINEZO HUYO MGANGA NA NYOTE MNAOAMIN NIWA PUM..B..VU
 

Makubwa!!
Wanasema,eti vijiko vikubwa vya kupakulia ni mikono ya watu!

mweeee!!!!
 
Staki kulizungumzia swala la diamond na mganga wake kwa sana kwasababu wote hatuna uhakika na swala hilo, sema wasanii wengi hapa tz kuanzia hao bongo movies hadi hawa wa bongo flavour wanasadikiwa kujihusisha sana na maswala ya kishirikina, hii inatokana na kwamba hawana vipaji bali wanachoangalia wao ni kujulikana tu, sasa how do you survive kwenye game hii kama hujabarikiwa na kipaji husika? Ndo inawabidi wakawange kuibiana nyota ili mtu apate kujulikana. That is why hawadumu wala kuendelea, coz siku zote uchawi una mwisho
 
Mti wenye matunda lazma upondwe mawe....Diammond forever!!!!!
 
Jamani tu ache utani nyimbo anayo gonga almasi +show yake kwe pale situnaona jamani au kila kitu kipo waz ngoma zake zinasumbua sana mpaka kenya kule acheni tu dah.
But kama ameweka chachandu ya ku heat kwa game co mbaya coz ata nani anakuwa na kinga yake zidi ya maadui wake.
All in all platnamuz kah acheni 2 dah. Anajua bwana na domo lake lile dah mkali sana uyu mnjemba.
 
Wapenzi hayo mambo yapo wasanii wengi wa bongo hawajiamin kutwa kuzurula kwa waganga wengine vipaji vyao vya kuungaunga kazi kuiba nyota za watu tu, kuna saa inakuja wa yesu watajulikana tu na yeyote aliyeiba nyota ya mtu mwsho wake umefika trust me hakuna linaloshindkana kwa yesu.
 

asilimia kubwa ya watanzani wmejawa na chuki zdi ya mwenzake hasa akiwa amefanikiwa so tapo hata umuelezeaje diamond hawtakuelewa
 

Mganga analalamika nini? Yeye si ndio mtaalamu? Amfanye asiimbe, mganga gani hana siri? fake!
 
watu wamemtafutia dogo diamond sababu ili spidi ipungue, kiukweli most of these people wenye mafaniko there must be a backup kuweka mambo katika usalama, sema tu hawajafuatiliwa, lakin wakifunuliwa nyuma ya pazia hamta amini mtakachoona, so lets not b judgemental
 
Uchawi upo na watu wanaloga sana., itakuwa diamond pekee ndo mseme hawezi?? kwa uswahili ule wa tandale....ndo mlishapumbazwa ili mkiambiwa anafanya hivyo mkatae. Kuna mfanyakazi wa ndege flani ya kimarekani nasikia alikuwa anakuja Africa kuufwata uchawi ili asafirishe madawa yake asishtukiwe....., so sishangai sana
 

asilimia kubwa ya watanzani wmejawa na chuki zdi ya mwenzake hasa akiwa amefanikiwa so tapo hata umuelezeaje diamond hawtakuelewa
Ningeshangaa sana wewe karani wa Diamond usingejitokeza kweny thread hii. kazi unayo inabidi akuongeze malipo.
 
haya maneno ya watu bwana .... kwa hiyo rule jamaa aliyeimba sijui nini kapanda baiskeli nae nilikuwa mchawi na sasa umekisha nae kapotea, nimekumbuka anaitwa Mr. Nice...

hapana, yule alikua FIRI MANSONI
 
Hata kama anatumia dawa lakini kuimba anajua acheni wivu..............
 
Na huyo kama ni mganga kweli na basi amfanye dimond asiwe muimbaji kama kweli ni mganga "Bure Kbaisa"
 
Mi naona apongezwe kwa Mafanikio aliyoyapata kwenye Music industry Kutokana na Historical Back Ground yake that's all na mtampa spirit ya kufanya vizuri zaidi kwenye Field yake lakini sio hayo maneno yenu ya kusema eti oooh , anatumia ndumbah hata wewe uliyeleta huu uzi hapa usikute unatumia uchawi kama sio wewe huwezi kuniambia kwenye ukoo wako hakuna mtu anayetumia uchawi hata mmoja ....so I think hayo mambo ni personal tunatakiwa kuangalia utendaji wake kwenye industry that's all ....blah,blah,blah....nyingi hazijengi . Usikute hii thread kaileta msanii mwenzake.

MNYONGE MNYONGENI, HAKI YAKE MPENI.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 

Kama hata mkuu wa nchi alikuwa amepewa ulinzi wa majini na shehe yule...si ajabu kwa kijana mwenye ambitions za pesa...

Mkuu wa kaya mwenyewe hafanyi kitu mpaka mtaalamu wa bagamoyo aseme...

Kuna swali kweli hapo?
 
Kama hata mkuu wa nchi alikuwa amepewa ulinzi wa majini na shehe yule...si ajabu kwa kijana mwenye ambitions za pesa...

Mkuu wa kaya mwenyewe hafanyi kitu mpaka mtaalamu wa bagamoyo aseme...

Kuna swali kweli hapo?


Umeongea point. Cha kushangaza mkuu wa kaya hafanyi ya maana kwa kuulizia wataalam wake nini afanye ili alete maendeleo hapa nchini yeye anawachekea tu watu na kuwaduwaza kama magoigoi. Lakini tujiulize, kujituma ili kutafuta maendeleo bila uchawi hapa Tanzania inawezekana, sasa kwa nini hawa wenzetu wanatumia njia ya mkato kuzima nyota za wenzao?
 
Mimi ninavyowajua wa TZ asilimia 80 ni washirikina
kiasi uhalali wa mmoja kumnyooshea kidole mwingine haupo kabisa
zaidi ya wivu na chuki na fitina
Mwenye uchawi mkali ndiye atafanikiwa!Kwa ujumla watu huzaliwa na akili na vipaji na vinaweza kustawi bila uchawi!Lakini unaweza ukashangaa pamoja na kipaji unachoweza kuwa nacho,ukakutana na vikwazo vingi vilivyo nje ya uwezo wako wa kibinadam.Ndipo wengi hutafuta baraka za mizimu kuondoa mikosi yote.Watu wengi maarufu Afrika vizazi vyao pia vimeendelea kuwa aidha maarufu ama matajiri.Lakini ukifuatilia historia unaona wengi kama is wote wametoka kwenye koo za kichawi mf koo zote za machifu kv Nyerere,wanamuziki km Miriam Makeba,mashujaa na hodari wa vita(makomandoo) mf jenerali Mayunga,wanasiasa kv Zitto,Ukiwaona Dito(marehemu),wafanyabiashara wengi wakubwa mf wahindi wanavunja nazi sana!Ni zaidi ya % 96 ya wa tz ni washirikina!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…