Kumbe Haya Ya Diamond Platinumz Ni Ya Kweli!

Niliwai kuambiwa kuwa kila Diamond akifanya onyesho kubwa lazima damu imwagike nikapewa mfano wa darlive mbagara kuwa kuna ajari ilitokea wakati anafanya onyesho.sikuamini habari hizo ila baada ya kigagura kuweka mambo wazi sasa naanza kupata jawabuuuuu
 
Ni nguvu mbili tu kubwa ziendeshazi ulimwengu, Nguvu ya Giza na Nguvu ya Nuru...so it's up to anyone to choose...
 
Sishangai kusikia karibia asilimia tisini ya wabongo ni washirikina, sio kwenye SOKA...SIASA..BONGO MUVI....BONGO FLEVA yaani mambo ni vululu vululu, Vita ya mauaji ya albino inakuwa ngumu kwa sababu za ujinga huu. Inafikia wakati mwanainchi wa kawaida mtaani anaulizwa na mtangazaji na anaongea bila kuficha wala kuona aibu. utamsikia mwanamama anasema..."Hela yangu ilipotea ndani nikaenda kwa mganga akaniambia ni wifi ndio amechukua"....jamani taifa linaangamia..watu wajiamini kwa vipaji vyao..na kama uganga ungekuwa na msaada Tungekuwa na soka la juu kuliko hata Hispania....maana huko kwenye soka nako ni balaa... MAFANIKIO NI JUHUDI na KUMUOMBA MUNGU...
 
Whatever the case .. Kama aliloga au hakuloga ni maisha tu.

Cha msingi anapaswa ajipange upya kama upepo umeanza kumwendea kivingine.

By the way.. Si kazi ndogo sana ku maintain status ktk muziki... Otherwise labda uwe makini sana na kazi yako.

Dogo inabidi awekeze katika biashara na ishu nyingine kabla hajaanza kuhadithia mimi nilikuwa hivi nilikuwa vile lolz

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Uchawi uchawi kila penye mafanikio watu hawakosi fitina kama yeye mwanga na kafanikiwa ww kikuumacho ni kipi ww ndo utakua mwanga cuz unafatilia mambo ya m2 watz 2acheni ushakunaku mind ur buzness kavp karoge na ww ufanikiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…