Kumbe Hayati Magufuli ilibaki kidogo kumshtaki Karamagi mahakamani?

Udhaifu wa hayati JPM ulikuwa ni huu wa kupenda sana kupigiwa makofi na jukwaa, alikuwa tayari kuja na agizo la ajabu lenye kuumiza watu kwa sababu tu ya kushangiliwa na watu waliohisi kwamba wamesahauliwa na mfumo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…