Kumbe Hayati Magufuli ilibaki kidogo kumshtaki Karamagi mahakamani?

JPM alikuwa msanii sana. Mikataba mibovu ilianza wakati wa JK akiwa waziri wa nishati na madini na yeye alikuwa analijua hilo. Sasa miaka yote hiyo 5 kwa nini hakumuajibisha?

Issue ya gesi Mtwara ilipitishwa na Bunge kwa hati ya dharura huku Chadema wakitolewa nje ya kikao hicho. JPM hilo alilifahamu na kwa miaka 5 hakuchukua hatua yoyote wala hakutaka kabisa kubadilisha mikataba yote mibovu iliyosainiwa na watangulizi wake akawa anapambana na watu aliohisi ni matajiri na wasio na mtetezi .

Ukiona kiongozi anahusudu sana kupendwa (populist) lazima mtaishia kubaya.
 
Aaah mstaafu ametuingiza cha kike kwenye mambo mengi
 
Ila hata kama jiwe alikuwa mwendawazimu kabisa, lkn kijamaa cha kuchekacheka nakitilia mashaka sana kwenye kifo cha jiwe
 
Ipo siku Kikwete atafikishwa mahakamani chukua hiyo.
Huyo bwana naombea tu tezi dume liwe halijaisha. Ni mchafu kupindukia yaani kila uovu yumo. Na kwa kuangalia tu huyo bwana na team yake pamoja na huyo mwenye kiremba unaona walimuua kipenzi chetu. Lkn ipo siku Mungu mkubwa mambo yatakuwa hadharani.

Nchi itaendelea huyo bwana akitoka.
 
Alikuwa anaonea watoto wa masikini pekee
 
Jiwe Ibilisi yuko Motoni Kwa sasa
 
Mm nashangaa sana JPM anapotajwa kama mtu aliyechukia rushwa. Ukweli ni kwamba yule hakuwa anachukia rushwa ila alikuwa na visasi tu na nongwa!
Hajabadilisha sheria yyte ile ya PCCB na ile ya maadili ya viongozi
 
Kulikuwa na harakati nyingi sana enzi hizo!
 
Una chuki sana mkuu denooj.
 
Unayemwambia hayo maneno ni sehemu ya kundi la hayati, hawezi kukuelewa hata siku moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…