Kumbe Hayati Mwalimu Nyerere na Mzee Mwinyi tofauti ya umri ni ndogo sana

Kumbe Hayati Mwalimu Nyerere na Mzee Mwinyi tofauti ya umri ni ndogo sana

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,860
Reaction score
18,819
Sijui ni kwanini lkn siku zote niliamini kabisa kwamba Mwalimu Nyerere alikuwa kiumri mkubwa sana umkilinganisha na Mzee Mwinyi, kumbe tofauti ya umri wao ilikuwa ni ndogo sana, Mwalimu mwaka wa kuzaliwa 1922 vs Mwinyi 1925
 
Kwani kifo kina umri sawa kwenye kuzaliwa
 
sijui ni kwa nini lkn siku zote niliamini kabisa kwamba Mwaimu Nyerere alikuwa kiumri mkubwa sana umkilinganisha na raisi Mwinyi, kumbe tofauti ya umri wao ilikuwa ni ndogo sana, Mwalimu mwaka wa kuzaliwa 1922 vs raisi Mwinyi 1925 …
Mwinyi huyuhuyu wa Zenji! Basi atakuwa ameumbwa kwa magamba ya nyoka.
 
Sijui ni kwanini lkn siku zote niliamini kabisa kwamba Mwalimu Nyerere alikuwa kiumri mkubwa sana umkilinganisha na Mzee Mwinyi, kumbe tofauti ya umri wao ilikuwa ni ndogo sana, Mwalimu mwaka wa kuzaliwa 1922 vs Mwinyi 1925
Walikuwa rika moja
 
Back
Top Bottom