Kumbe hii timu ilishawahi kupigwa na Namungo bao 6?

Kumbe hii timu ilishawahi kupigwa na Namungo bao 6?

Unaizungumzia De Agosto iliyofanyiwa figisu kwa wachezaji wake tegemezi zaidi ya 8 wa kikosi cha kwanza kuambiwa kuwa wana Corona.


Unaizungumzia De Agosto ambayo licha ya wachezaji wake 8 kuambiwa kuwa wana Corona bado walishurutishwa kucheza mechi ya nyumbani na ugenini katika uwanja wa Azam complex.

Hao Namungo wako walivyoingia Group stage hawakupata ushindi wala goli hata moja .

Primero De Agosto wamewahi kufika hatua ya Nusu fainali ya mshindano ya klabu bingwa Afrika mwaka 2018
Sisi tumetoa matokeo tu yaliyopita ya hiyo timu , kama haikutakiwa kukumbusha basi tusamehewe
 
Ushahidi huu hapa.

View attachment 2382093

Sina lengo la kupuuza ushindi wa Simba ila nimeweka tu angalizo, tusije tukafikiri kuingia makundi ndiyo tumemaliza, kumbe njia tuliyopita ni mdebwedo tu.
Ikiwa ni mdebwedo wakija ombeni mpige shoo ya urafiki muone kama mwiko utabaki huko nyuma.

Zalan alikuwa mdebwedo mbona na Al Hilal alipigwa 4 kwa 1 na Simba kwa Mkapa ninyi mmechemsha. Subirini kombe la Shirikisho napo mkiingia kichwakichwa mtachomolewa mwiko wenu huko nyuma
 
Mabingwa wa ligi ipi nyie mashabiki wa simba mbona hamnazo sana aisee, unamjua bingwa wa Angola wewe au ndo madish yenu yameyumba, bingwa wa angola ni Petro de luanda kachukua ubingwa akiwa na point 75 akifuatiwa na mshindi wa 2 de agosto aliyekuwa na point 61 sasa huo ubingwa walioubeba de agosto wewe ndio uliwapa? Mbona mnajitoa sana ufahamu kuongea vitu msivyovijua
Hii comment umeandika ukiwa umejawa makasiriko.Hatuna msaada wa kukusaidia upate ahueni.Tar 16 tunamaliza kazi tunaingia makundi na nyinyi tar 17 mnakwenda kufungashiwa virago mwende CC mkakutane na Agosto wawapasue tena.
 
Back
Top Bottom