Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Hizi sababu huwa hazitambuliki kwenye mpira. Timu inasajili wachezaji zaidi ya 20! Wanaocheza ni 11! Wakikosekana wachezaji 8, wengine wanacheza.Wachezaji wao nane hawakucheza hiyo mechi. Walionekana wana Covidi+
Nyie endeleeni kubaki na takwimu.
Wekeni na ile ya Simba kupigwa 5 Congo na 5 Misri.
Hiyo ndio kazi yenu.
Vipi kama wangeshinda? Je, hii sababu ingekuwa bado na mashiko?