Kumbe hii timu ilishawahi kupigwa na Namungo bao 6?

Kumbe hii timu ilishawahi kupigwa na Namungo bao 6?

Wachezaji wao nane hawakucheza hiyo mechi. Walionekana wana Covidi+
Nyie endeleeni kubaki na takwimu.

Wekeni na ile ya Simba kupigwa 5 Congo na 5 Misri.
Hiyo ndio kazi yenu.
Hizi sababu huwa hazitambuliki kwenye mpira. Timu inasajili wachezaji zaidi ya 20! Wanaocheza ni 11! Wakikosekana wachezaji 8, wengine wanacheza.

Vipi kama wangeshinda? Je, hii sababu ingekuwa bado na mashiko?
 
Mazingira tofauti kipindi kile ushindi huo ulichangiwa na vitu vingi

Kwanza Namungo alipata zari kama lililomkuta Yanga kwa Zalan kucheza mechi zote Tanzania

Pamoja na hayo yote bado Namungo alifanya figisu za kuwatoa wachezaji muhimu na tegemezi zaidi ya watano wa Agosto kwa kigezo cha Corona

Hawa ndio mabingwa wa ligi yao ambayo ni kubwa kuliko yetu, ukiachana na hiyo kumbuka katika mechi 7 za mwisho hawajapoteza

Kama mnawaona hawa ni vibonde basi subirieni waangukie Confederation halafu na nyie mkakutane nao mtaona kama mtapata mseleleko
Hawa siyo mabingwa wa ligi yao last season, hapa lunyasi mwenzangu umebwanda
 
Hiyo timu mnaiona nyepesi kwasababu imecheza na Simba SC, Simba wanajua wanawafanya wasiojua sana waonekane hawajui, sasa kachezeni nao nyie halafu mje hapa na matokeo.
 
Na Al hilal pia waliwahi pigika na Simba
Ushahidi huu hapa.

View attachment 2382093

Sina lengo la kupuuza ushindi wa Simba ila nimeweka tu angalizo, tusije tukafikiri kuingia makundi ndiyo tumemaliza, kumbe njia tuliyopita ni mdebwedo tu.
au umejisahaulisha
20221010_082347.jpeg
 
Mazingira tofauti kipindi kile ushindi huo ulichangiwa na vitu vingi

Kwanza Namungo alipata zari kama lililomkuta Yanga kwa Zalan kucheza mechi zote Tanzania

Pamoja na hayo yote bado Namungo alifanya figisu za kuwatoa wachezaji muhimu na tegemezi zaidi ya watano wa Agosto kwa kigezo cha Corona

Hawa ndio mabingwa wa ligi yao ambayo ni kubwa kuliko yetu, ukiachana na hiyo kumbuka katika mechi 7 za mwisho hawajapoteza

Kama mnawaona hawa ni vibonde basi subirieni waangukie Confederation halafu na nyie mkakutane nao mtaona kama mtapata mseleleko
Mabingwa wa ligi ipi nyie mashabiki wa simba mbona hamnazo sana aisee, unamjua bingwa wa Angola wewe au ndo madish yenu yameyumba, bingwa wa angola ni Petro de luanda kachukua ubingwa akiwa na point 75 akifuatiwa na mshindi wa 2 de agosto aliyekuwa na point 61 sasa huo ubingwa walioubeba de agosto wewe ndio uliwapa? Mbona mnajitoa sana ufahamu kuongea vitu msivyovijua
 
Mazingira tofauti kipindi kile ushindi huo ulichangiwa na vitu vingi

Kwanza Namungo alipata zari kama lililomkuta Yanga kwa Zalan kucheza mechi zote Tanzania

Pamoja na hayo yote bado Namungo alifanya figisu za kuwatoa wachezaji muhimu na tegemezi zaidi ya watano wa Agosto kwa kigezo cha Corona

Hawa ndio mabingwa wa ligi yao ambayo ni kubwa kuliko yetu, ukiachana na hiyo kumbuka katika mechi 7 za mwisho hawajapoteza

Kama mnawaona hawa ni vibonde basi subirieni waangukie Confederation halafu na nyie mkakutane nao mtaona kama mtapata mseleleko
Hata Yanga mabingwa wa nchi hii na mechi 41 sijui hawajapoteza kwa hiyo unataka kusema Yanga ni bora kuliko Simba? sijaelewa kidogo mimi hizi team za kijeshi sizipi thamani sana hazina washabiki wala ukubwa nadhani jambo zuri Simba wapite kipimo ni huko mbele kwenye makundi ila naamini Simba wanaweza kufanya vizuri na tukumbuke Yanga hajatoka bado anaweza kwenda akafanya kitu pia maana hana cha kupoteza kule ni kwenda kutafuta ushindi tu au draw ya magoal linawezekana na kama hili haliwezekani basi hawastahili kuwepo kwenye mashindano haya.
 
Sasa kwan nyie na namungo nani anatambulika kimataifa?
 
Ushahidi huu hapa.

View attachment 2382093

Sina lengo la kupuuza ushindi wa Simba ila nimeweka tu angalizo, tusije tukafikiri kuingia makundi ndiyo tumemaliza, kumbe njia tuliyopita ni mdebwedo tu.
Unaizungumzia De Agosto iliyofanyiwa figisu kwa wachezaji wake tegemezi zaidi ya 8 wa kikosi cha kwanza kuambiwa kuwa wana Corona.

Unaizungumzia De Agosto ambayo licha ya wachezaji wake 8 kuambiwa kuwa wana Corona bado walishurutishwa kucheza mechi ya nyumbani na ugenini katika uwanja wa Azam complex.

Hao Namungo wako walivyoingia Group stage hawakupata ushindi wala goli hata moja .

Primero De Agosto wamewahi kufika hatua ya Nusu fainali ya mshindano ya klabu bingwa Afrika mwaka 2018
 
Back
Top Bottom