Kumbe hii timu ilishawahi kupigwa na Namungo bao 6?

Sisi tumetoa matokeo tu yaliyopita ya hiyo timu , kama haikutakiwa kukumbusha basi tusamehewe
 
Ushahidi huu hapa.

View attachment 2382093

Sina lengo la kupuuza ushindi wa Simba ila nimeweka tu angalizo, tusije tukafikiri kuingia makundi ndiyo tumemaliza, kumbe njia tuliyopita ni mdebwedo tu.
Ikiwa ni mdebwedo wakija ombeni mpige shoo ya urafiki muone kama mwiko utabaki huko nyuma.

Zalan alikuwa mdebwedo mbona na Al Hilal alipigwa 4 kwa 1 na Simba kwa Mkapa ninyi mmechemsha. Subirini kombe la Shirikisho napo mkiingia kichwakichwa mtachomolewa mwiko wenu huko nyuma
 
Hii comment umeandika ukiwa umejawa makasiriko.Hatuna msaada wa kukusaidia upate ahueni.Tar 16 tunamaliza kazi tunaingia makundi na nyinyi tar 17 mnakwenda kufungashiwa virago mwende CC mkakutane na Agosto wawapasue tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…