Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Kwa kwatumiaji wa Google Chrome nadhani mtakuwa mnakafahamu vizuri haka kajamaa kanakotokea wakati kukiwa na shida ya mtandao wa Internet.
Sasa leo bwana nikasema ngoja nikaguse haka kajamaa, weee si kakaruka na kuanza kukimbia. Nikajiuliza ni nini hiki mara naona vitu kama miti ya jangwani, nikakagusa tena kakauruka huo mti. Ndo nikajua kumbe hili ni game...linakufariji usikasirike wakati mtandao ukiwa chini
Uzi from home