Kumbe hili ni game? Sikuwahi kujua kabla

Kumbe hili ni game? Sikuwahi kujua kabla

πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Kana nmwonekano wa kukera.
Mimi ilikuwa najiulizaga ni ka ndege, ka kangaroo ama ka dinasaor maana hata hakaeleweki...ila jana kakanifaa sana.
Umeonaee. Yaani nikishaonaga hiyo No Internet basi sihangaiki nako natafuta kitu ingine ya kufanya.

Itabidi siku kakija nikabonyeze nione hiyo game mana sa hii nimezima data nijaribu kama katakuja ila hakajaja.
 
πŸ˜€πŸ˜€ Duuh!!
Hadi hiki kipindi cha kukaa majumbani kiishe tutagungua mengi mno....πŸ˜€πŸ˜€
Screenshot_2020-04-03-07-58-36.png
 
Kwa kwatumiaji wa Google Chrome nadhani mtakuwa mnakafahamu vizuri haka kajamaa kanakotokea wakati kukiwa na shida ya mtandao wa Internet.
View attachment 1407018

Sasa leo bwana nikasema ngoja nikaguse haka kajamaa, weee si kakaruka na kuanza kukimbia. Nikajiuliza ni nini hiki mara naona vitu kama miti ya jangwani, nikakagusa tena kakauruka huo mti. Ndo nikajua kumbe hili ni game...linakufariji usikasirike wakati mtandao ukiwa chini
View attachment 1407023

Uzi from home
Nimecheza sana nikiwa kazini yule mbwa wa Kinaijeria akinizingua. Yaani akinikera sifanyi chochote naanza kucheza hako kamchezo, unacheza unakua addicted hadi unamsikia "Bwana Jela" nae alianza kucheza cheza
 
Nimezima data na mimi nimekacheza. πŸ˜‚πŸ˜‚
Screenshot_20200403-125243.png
hahaha me nilikuwa nikikaona na simu yenyewe naachana nayo
 
Back
Top Bottom