Kumbe hili ni game? Sikuwahi kujua kabla

Kumbe hili ni game? Sikuwahi kujua kabla

Nimecheza sana nikiw kazini yule mbwa wa kinaijeria akinizingua. Yaani akinikera sifanyi chochote naanza kucheza hako kamchezo, unacheza unakua addicted hadi unamsikia "Bwana Jela" nae alianza kucheza cheza
😂😂
 
Kwa kwatumiaji wa Google Chrome nadhani mtakuwa mnakafahamu vizuri haka kajamaa kanakotokea wakati kukiwa na shida ya mtandao wa Internet.
View attachment 1407018

Sasa leo bwana nikasema ngoja nikaguse haka kajamaa, weee si kakaruka na kuanza kukimbia. Nikajiuliza ni nini hiki mara naona vitu kama miti ya jangwani, nikakagusa tena kakauruka huo mti. Ndo nikajua kumbe hili ni game...linakufariji usikasirike wakati mtandao ukiwa chini
View attachment 1407023

Uzi from home
Working from home
 
Kwenye computer unalicheza hilo game kwa kutumia space bar.

~I moved your cheese! So what?~
 
Kuna hili pia..
Unakwepa hao ndege na mawingu yenye radi.
Screenshot_20200405-014728~2.jpeg
Screenshot_20200405-014750.jpeg


~I moved your cheese! So what?~
 
kitambo sana yaan ni jinsi gani inaonesha kuwa Google wanaleta kila ushawishi iliuendelee kutumia search engine yao.
 
Back
Top Bottom