Kumbe hili ni game? Sikuwahi kujua kabla

πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Kana nmwonekano wa kukera.
Mimi ilikuwa najiulizaga ni ka ndege, ka kangaroo ama ka dinasaor maana hata hakaeleweki...ila jana kakanifaa sana.
Umeonaee. Yaani nikishaonaga hiyo No Internet basi sihangaiki nako natafuta kitu ingine ya kufanya.

Itabidi siku kakija nikabonyeze nione hiyo game mana sa hii nimezima data nijaribu kama katakuja ila hakajaja.
 
Nimecheza sana nikiwa kazini yule mbwa wa Kinaijeria akinizingua. Yaani akinikera sifanyi chochote naanza kucheza hako kamchezo, unacheza unakua addicted hadi unamsikia "Bwana Jela" nae alianza kucheza cheza
 
Nimezima data na mimi nimekacheza. πŸ˜‚πŸ˜‚hahaha me nilikuwa nikikaona na simu yenyewe naachana nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…