😂😂Nimecheza sana nikiw kazini yule mbwa wa kinaijeria akinizingua. Yaani akinikera sifanyi chochote naanza kucheza hako kamchezo, unacheza unakua addicted hadi unamsikia "Bwana Jela" nae alianza kucheza cheza
Nimezima data na mimi nimekacheza. 😂😂View attachment 1407579hahaha me nilikuwa nikikaona na simu yenyewe naachana nayo
😀 😀 😀 😀Dah aisee nimejiona mjinga sana kwa kutokujua hili mapema
Hata Ally Kiba anajua hilo ni game ila hua hapendi tu kujionyesha.
Working from homeKwa kwatumiaji wa Google Chrome nadhani mtakuwa mnakafahamu vizuri haka kajamaa kanakotokea wakati kukiwa na shida ya mtandao wa Internet.
View attachment 1407018
Sasa leo bwana nikasema ngoja nikaguse haka kajamaa, weee si kakaruka na kuanza kukimbia. Nikajiuliza ni nini hiki mara naona vitu kama miti ya jangwani, nikakagusa tena kakauruka huo mti. Ndo nikajua kumbe hili ni game...linakufariji usikasirike wakati mtandao ukiwa chini
View attachment 1407023
Uzi from home
😂😂nakwambia!!!Tutagundua mengi tu kipindi hiki cha quarantine, muda bado.
The best Medicine of Corona is to Stay Home.