Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Basi watalifanyia kaziLet's pay our debts in time and use them to develop our Countries and People but not ourselves and the Family members.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi watalifanyia kaziLet's pay our debts in time and use them to develop our Countries and People but not ourselves and the Family members.
Dawa Ya Deni Ni KulipaLipeni madeni
UncircumcisedYou're dealing with a Certified Genius GENTAMYCINE so you better keep your Pig Mouth shut okay?
My blessed IQ, Exposure and Knowledge can't be compared with yours an Circumcised Baboon okay?
I'm done.
Mmh na vile #1 anavyopenda minuso inawezekana nae akadakwa 🤔Na ili Kutuzuga zaidi Waafrika anatafutwa Mtu kisha anazusha Jambo fulani la taharuki hasa la Ugonjwa au Kifo ili Waafrika tuweke huko Akili zetu na tusijue kuwa kutokana na nchi za Afrika kudaiwa mno na Wazungu Wanaotudai sasa hata Viongozi wetu Waandamizi nao wakienda Ulaya Wanakamatwa mpaka Fedha zilipwe na zikilipwa tu ndiyo Wanaachiwa kurejea nchi zao na Kuungana na Wajukuu zao Wanaowapenda.
GENTAMYCINE namalizia kwa kusema ukiona Mbili imekamatwa hadi Deni Kubwa lilipwe. jua hata Moja nayo haiko mbali Kudakwa juu kwa juu na Waafrika tutaendelea Kuzugwa kuwa wana Kazi Maalum au wako katika Matibabu ya matatizo yao ya Vifua na Kukohoa kusikopona
Waafrika tulipeni Madeni ya Wazungu ili Ndege zetu na Viongozi wetu wasikamatwe Wakisafiri huko na tukaanza kupandikiziwa Propaganda kuwa Wanaumwa au Wamekufa ili tu kuruficha Waafrika na Aibu ya Viongozi wetu Wakubwa na Waandamizi kabisa Kukamatwa huko Ughaibuni.
Wenye Akili Kubwa, Wadadisi wa Masuala na Wafukuaji wa Taarifa zilizofichwa huwa Hawafichwi na Hawadanganyiki na wala Hawazugwi kizembe kizembe hali wakitaka kuujua Ukweli wataujua tu kama ambavyo sasa Umejulikana kwa Bara letu la Afrika.
genta kama genta chizi wa machizi aka mfalme wa macrazyUgonjwa wa Wapumbavu kama alionao TUKANA UONE ambaye kila Siku anadhani anaweza kujifananisha Kiakili Kubwa na hiki Kichwa changu cha GENTAMYCINE kilichobarikiwa na Mwenyezi Mungu.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
Na ili Kutuzuga zaidi Waafrika anatafutwa Mtu kisha anazusha Jambo fulani la taharuki hasa la Ugonjwa au Kifo ili Waafrika tuweke huko Akili zetu na tusijue kuwa kutokana na nchi za Afrika kudaiwa mno na Wazungu Wanaotudai sasa hata Viongozi wetu Waandamizi nao wakienda Ulaya Wanakamatwa mpaka Fedha zilipwe na zikilipwa tu ndiyo Wanaachiwa kurejea nchi zao na Kuungana na Wajukuu zao Wanaowapenda.
GENTAMYCINE namalizia kwa kusema ukiona Mbili imekamatwa hadi Deni Kubwa lilipwe. jua hata Moja nayo haiko mbali Kudakwa juu kwa juu na Waafrika tutaendelea Kuzugwa kuwa wana Kazi Maalum au wako katika Matibabu ya matatizo yao ya Vifua na Kukohoa kusikopona
Waafrika tulipeni Madeni ya Wazungu ili Ndege zetu na Viongozi wetu wasikamatwe Wakisafiri huko na tukaanza kupandikiziwa Propaganda kuwa Wanaumwa au Wamekufa ili tu kuruficha Waafrika na Aibu ya Viongozi wetu Wakubwa na Waandamizi kabisa Kukamatwa huko Ughaibuni.
Wenye Akili Kubwa, Wadadisi wa Masuala na Wafukuaji wa Taarifa zilizofichwa huwa Hawafichwi na Hawadanganyiki na wala Hawazugwi kizembe kizembe hali wakitaka kuujua Ukweli wataujua tu kama ambavyo sasa Umejulikana kwa Bara letu la Afrika.
Typing error ni kawaida kwa Intellectual.Uncircumcised
SawaDid I force you anywhere to believe it?
🤣🤣😀🤣🤣🤣🤣HIGH LEVEL STUPIDITY from The STUPIDY MAN
Unauliza Taulo Bafuni?Hahhahha Nimecheka snaa kwahyo namba mbili alikamatwa kwa sababu ya Madeni
Duh 😅😅Unauliza Taulo Bafuni?
Acha ufala bhana...You're dealing with a Certified Genius GENTAMYCINE so you better keep your Pig Mouth shut okay?
My blessed IQ, Exposure and Knowledge can't be compared with yours Uncircumcised Baboon okay?
I'm done.
Inatibu Magonjwa Mtambuka🏃🏃🤣🤣Hivi gentamacin ni dawa ya kutibu ugonjwa gani vile?
Eti muongo wa taifa..!! Nimecheka kwa sauti wallah..!!Huoni sasa hivi anasafiri kwa Timing na akishtukia nae Kudakwa kama Mwenzake anamsakizia Muongo wa Taifa namba Tatu akiwakilisha?
Halafu GENTAMYCINE siyo Mjita bali Mimi ni Mzanaki, Myao na Mtutsi na Jina langu halisi ni Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo Kisungura ambayo yako NIDA, RITA na UHAMIAJI NCHI pia.
Naunga mkono mleta mada ana kituNa ili Kutuzuga zaidi Waafrika anatafutwa Mtu kisha anazusha Jambo fulani la taharuki hasa la Ugonjwa au Kifo ili Waafrika tuweke huko Akili zetu na tusijue kuwa kutokana na nchi za Afrika kudaiwa mno na Wazungu Wanaotudai sasa hata Viongozi wetu Waandamizi nao wakienda Ulaya Wanakamatwa mpaka Fedha zilipwe na zikilipwa tu ndiyo Wanaachiwa kurejea nchi zao na Kuungana na Wajukuu zao Wanaowapenda.
GENTAMYCINE namalizia kwa kusema ukiona Mbili imekamatwa hadi Deni Kubwa lilipwe. jua hata Moja nayo haiko mbali Kudakwa juu kwa juu na Waafrika tutaendelea Kuzugwa kuwa wana Kazi Maalum au wako katika Matibabu ya matatizo yao ya Vifua na Kukohoa kusikopona
Waafrika tulipeni Madeni ya Wazungu ili Ndege zetu na Viongozi wetu wasikamatwe Wakisafiri huko na tukaanza kupandikiziwa Propaganda kuwa Wanaumwa au Wamekufa ili tu kuruficha Waafrika na Aibu ya Viongozi wetu Wakubwa na Waandamizi kabisa Kukamatwa huko Ughaibuni.
Wenye Akili Kubwa, Wadadisi wa Masuala na Wafukuaji wa Taarifa zilizofichwa huwa Hawafichwi na Hawadanganyiki na wala Hawazugwi kizembe kizembe hali wakitaka kuujua Ukweli wataujua tu kama ambavyo sasa Umejulikana kwa Bara letu la Afrika.
Kumbe!🤣🤣🤣🤣🤣Na ili Kutuzuga zaidi Waafrika anatafutwa Mtu kisha anazusha Jambo fulani la taharuki hasa la Ugonjwa au Kifo ili Waafrika tuweke huko Akili zetu na tusijue kuwa kutokana na nchi za Afrika kudaiwa mno na Wazungu Wanaotudai sasa hata Viongozi wetu Waandamizi nao wakienda Ulaya Wanakamatwa mpaka Fedha zilipwe na zikilipwa tu ndiyo Wanaachiwa kurejea nchi zao na Kuungana na Wajukuu zao Wanaowapenda.
GENTAMYCINE namalizia kwa kusema ukiona Mbili imekamatwa hadi Deni Kubwa lilipwe. jua hata Moja nayo haiko mbali Kudakwa juu kwa juu na Waafrika tutaendelea Kuzugwa kuwa wana Kazi Maalum au wako katika Matibabu ya matatizo yao ya Vifua na Kukohoa kusikopona
Waafrika tulipeni Madeni ya Wazungu ili Ndege zetu na Viongozi wetu wasikamatwe Wakisafiri huko na tukaanza kupandikiziwa Propaganda kuwa Wanaumwa au Wamekufa ili tu kuruficha Waafrika na Aibu ya Viongozi wetu Wakubwa na Waandamizi kabisa Kukamatwa huko Ughaibuni.
Wenye Akili Kubwa, Wadadisi wa Masuala na Wafukuaji wa Taarifa zilizofichwa huwa Hawafichwi na Hawadanganyiki na wala Hawazugwi kizembe kizembe hali wakitaka kuujua Ukweli wataujua tu kama ambavyo sasa Umejulikana kwa Bara letu la Afrika.
Mwaka huu mtasema mengiNa ili Kutuzuga zaidi Waafrika anatafutwa Mtu kisha anazusha Jambo fulani la taharuki hasa la Ugonjwa au Kifo ili Waafrika tuweke huko Akili zetu na tusijue kuwa kutokana na nchi za Afrika kudaiwa mno na Wazungu Wanaotudai sasa hata Viongozi wetu Waandamizi nao wakienda Ulaya Wanakamatwa mpaka Fedha zilipwe na zikilipwa tu ndiyo Wanaachiwa kurejea nchi zao na Kuungana na Wajukuu zao Wanaowapenda.