Kumbe Huawei Harmony OS ni another version ya Android

Uko sahihi kabisa kwahiyo tutegemee OS ilio bora zaidi kutoka Huawei muda si mrefu...
Sidhani kma watatengeneza OS mpya. Ni kupoteza resources tu bila gain yoyote ya maana. Pia CEO wa Huawei amashaomba mkutano na Joe Biden kudiscuss kuhusu hyo ban waliyopigwa na Trump

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huawei alisema ni os mpya wametengeneza from scratch wakatupiga kamba pia wanatumia micro kernel ili kuifanya iwe nyepesi zaidi kuliko android inayotumia linux kernel.

kama huifahamu mkuu asili ya Android yaani AOSP (android open source project) haina playstore wala apps za google, ukiwa na custom rom kama cyanogen/lineage unaiona aosp ilivyo,

baada ya hapo ndio google anaweka apps zake na kuwapa oems kina samsung na tecno, kiujumla huitwa oha aka Open handset alliance

pia kuna wanao fork android na kuibadili kabisa mfano amazon na fireos ambayo huweka service zao nyengine.

alichofanya huawei si kipya na wala hakuna aibu kufanya hivyo, tatizo ni kudanganya watu na kujisifu katengeneza kitu kipya.
 
Na Mimi hii ndiyo hoja yangu. Maana kwa jinsi alivyokuwa anabrag nilitegemea atakuja na OS mpya siyo hiki alichofanya. Sasa sijui kwanini alikuwa na matambo
 
Nawalaumu sana Windows phone OS kwa nini walikata tamaa kuendeleza mapambano. Hakika ilikuwa na mvuto wa kipekee kuliko hawa wanaoigana.
tatizo jamaa walikosa passion wakawa wako na biashara tu. kitu ambacho steve jobs au elon musk hakuwa nacho.

wangekuwa fire sana miaka minne hii leo.
 
sheria ya ukichukua open source, basi na wewe lazima software yako uwe unatoa source code.

Kumbuka Android wamecustomize kutoka Linux ambayo ni open source.

naruhusu kukosolewa nilipokosea
Wrong. Inategemeana na leseni. Kwa leseni kama MIT hazilazimishi.
 
Nilikua muumini wa symbian nokia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…