Kumbe Huawei Harmony OS ni another version ya Android

Kumbe Huawei Harmony OS ni another version ya Android

Ni kweli inaweza kuwa lighter and faster japo video sijaitazama, kwa sababu kazi ya play services ni ku link apps zote pamoja ikiwemo playstore.. kitendo hicho huwa kinasababisha matumizi makubwa ya battery pamoja na Ram.. ila kwa Harmony hiyo haipo na ndio maana wanaweza kusema itakuwa lighter
huawei alisema ni os mpya wametengeneza from scratch wakatupiga kamba pia wanatumia micro kernel ili kuifanya iwe nyepesi zaidi kuliko android inayotumia linux kernel.

kama huifahamu mkuu asili ya Android yaani AOSP (android open source project) haina playstore wala apps za google, ukiwa na custom rom kama cyanogen/lineage unaiona aosp ilivyo,

baada ya hapo ndio google anaweka apps zake na kuwapa oems kina samsung na tecno, kiujumla huitwa oha aka Open handset alliance

pia kuna wanao fork android na kuibadili kabisa mfano amazon na fireos ambayo huweka service zao nyengine.

alichofanya huawei si kipya na wala hakuna aibu kufanya hivyo, tatizo ni kudanganya watu na kujisifu katengeneza kitu kipya.
 
Na Mimi hii ndiyo hoja yangu. Maana kwa jinsi alivyokuwa anabrag nilitegemea atakuja na OS mpya siyo hiki alichofanya. Sasa sijui kwanini alikuwa na matambo
 
Nawalaumu sana Windows phone OS kwa nini walikata tamaa kuendeleza mapambano. Hakika ilikuwa na mvuto wa kipekee kuliko hawa wanaoigana.
tatizo jamaa walikosa passion wakawa wako na biashara tu. kitu ambacho steve jobs au elon musk hakuwa nacho.

wangekuwa fire sana miaka minne hii leo.
 
sheria ya ukichukua open source, basi na wewe lazima software yako uwe unatoa source code.

Kumbuka Android wamecustomize kutoka Linux ambayo ni open source.

naruhusu kukosolewa nilipokosea
Wrong. Inategemeana na leseni. Kwa leseni kama MIT hazilazimishi.
 
Hakuna corporation yoyote inayoweza ku launch OS mpya kabisa ndani ya miaka miwili. Hcho kitu hakiwezekani. Hata Android ilikuwa based on Linux kernel, hata macOS and Linux zilikua based on UNIX, Windows nayo ilkuwa based on MS-DOS.

Hivyo sishangai kuwa Huawei wametumia Android kwakua tayari ni open source platform yenye support kubwa sana. Wangetengeneza OS mpya kabisa wangepata shida sana kukusanya devs kwaajili ya kutengeneza app zao na walilijua hilo. Windows phones, FireFox OS, webOS, BBOS, Bada na Symbian zilikufa sababu hakukua na support kutoka kwa devs.

Ulimwengu wa sasa OS yako ikikosa support ya apps itakufa, watu sikuhzi wameshazoea apps na hawataki kutumia websites.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikua muumini wa symbian nokia
 
Back
Top Bottom