Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Wewe ni mchina ???
We yakwako iko wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We yakwako iko wapi?
KaiOS inalenga soko tofauti kabisa. KaiOS iko based on Boot to Gecko OS (from FireFox OS) ambayo inatumia Linux kernel na Gecko Browser engine. App zote za kaiOS ni web apps.Na kuhusu kaios
We unamponda mchina wakati hapo ulipo zaidi ya 90% ya vitu ulivyonavyo no vya mchina, ebo! Waafrika tumshukuru mchina alifanya tuione dunia kiganjani kwa njia rahisiWewe ni mchina ???
Sidhani kma watatengeneza OS mpya. Ni kupoteza resources tu bila gain yoyote ya maana. Pia CEO wa Huawei amashaomba mkutano na Joe Biden kudiscuss kuhusu hyo ban waliyopigwa na TrumpUko sahihi kabisa kwahiyo tutegemee OS ilio bora zaidi kutoka Huawei muda si mrefu...
Makampuni kuwepo China hakumaanishi ni teknolojia ya mchinaWe unamponda mchina wakati hapo ulipo zaidi ya 90% ya vitu ulivyonavyo no vya mchina, ebo! Waafrika tumshukuru mchina alifanya tuione dunia kiganjani kwa njia rahisi
huawei alisema ni os mpya wametengeneza from scratch wakatupiga kamba pia wanatumia micro kernel ili kuifanya iwe nyepesi zaidi kuliko android inayotumia linux kernel.Ni kweli inaweza kuwa lighter and faster japo video sijaitazama, kwa sababu kazi ya play services ni ku link apps zote pamoja ikiwemo playstore.. kitendo hicho huwa kinasababisha matumizi makubwa ya battery pamoja na Ram.. ila kwa Harmony hiyo haipo na ndio maana wanaweza kusema itakuwa lighter
Na Mimi hii ndiyo hoja yangu. Maana kwa jinsi alivyokuwa anabrag nilitegemea atakuja na OS mpya siyo hiki alichofanya. Sasa sijui kwanini alikuwa na matambohuawei alisema ni os mpya wametengeneza from scratch wakatupiga kamba pia wanatumia micro kernel ili kuifanya iwe nyepesi zaidi kuliko android inayotumia linux kernel.
kama huifahamu mkuu asili ya Android yaani AOSP (android open source project) haina playstore wala apps za google, ukiwa na custom rom kama cyanogen/lineage unaiona aosp ilivyo,
baada ya hapo ndio google anaweka apps zake na kuwapa oems kina samsung na tecno, kiujumla huitwa oha aka Open handset alliance
pia kuna wanao fork android na kuibadili kabisa mfano amazon na fireos ambayo huweka service zao nyengine.
alichofanya huawei si kipya na wala hakuna aibu kufanya hivyo, tatizo ni kudanganya watu na kujisifu katengeneza kitu kipya.
Bhakwetake ange😀Bhaghoshaaa
asante kwa kuniongezea maarifaHyo sio sheria ya open source. Unaweza chukua open source code ukafanya chochote unachotaka. Kwani HiOS au MIUI ni open source?
Sent using Jamii Forums mobile app
tatizo jamaa walikosa passion wakawa wako na biashara tu. kitu ambacho steve jobs au elon musk hakuwa nacho.Nawalaumu sana Windows phone OS kwa nini walikata tamaa kuendeleza mapambano. Hakika ilikuwa na mvuto wa kipekee kuliko hawa wanaoigana.
Wrong. Inategemeana na leseni. Kwa leseni kama MIT hazilazimishi.sheria ya ukichukua open source, basi na wewe lazima software yako uwe unatoa source code.
Kumbuka Android wamecustomize kutoka Linux ambayo ni open source.
naruhusu kukosolewa nilipokosea
My Lumia 620😋😋Nawalaumu sana Windows phone OS kwa nini walikata tamaa kuendeleza mapambano. Hakika ilikuwa na mvuto wa kipekee kuliko hawa wanaoigana.
Nilikua muumini wa symbian nokiaHakuna corporation yoyote inayoweza ku launch OS mpya kabisa ndani ya miaka miwili. Hcho kitu hakiwezekani. Hata Android ilikuwa based on Linux kernel, hata macOS and Linux zilikua based on UNIX, Windows nayo ilkuwa based on MS-DOS.
Hivyo sishangai kuwa Huawei wametumia Android kwakua tayari ni open source platform yenye support kubwa sana. Wangetengeneza OS mpya kabisa wangepata shida sana kukusanya devs kwaajili ya kutengeneza app zao na walilijua hilo. Windows phones, FireFox OS, webOS, BBOS, Bada na Symbian zilikufa sababu hakukua na support kutoka kwa devs.
Ulimwengu wa sasa OS yako ikikosa support ya apps itakufa, watu sikuhzi wameshazoea apps na hawataki kutumia websites.
Sent using Jamii Forums mobile app