Kumbe !!Kumbe yule CEO machachari aliefukuzwa na board ya kampuni yake ya OpenAI na kurudishwa tena baada ya muda mfupi ni shoga.
Huyu kijana Sam Altman alipata umaarufu baada ya hio Coup de tat ilioshindikana ndani ya OpenAI.
Ni wazi sasa AI ni mpango wa watu wa New World Order na ndio maana watu wanaojielewa wanataka AI zisimamishwe au ziwe na kibali kama ilivyo nyuklia.
Soma zaidi hapa, jana ilikua harusi yake OpenAI CEO Sam Altman just got married
Jf ni sehemu ya kujadili sio matangazoMnatumia nguvu sana kuwatangaza hao Vima...
Ni shida sana, Mungu asaidie vizazi vyetuKumbe !!
Ndiomana alirudishwa maana watu kama hawa ni wanatafutw sana ili kutekeleza ajenda ya ushoga dunian.
Watoto watakauw wakisoma drsn hap ndio mifano yao, na kwakuw ni watoto wao kuiga wataona ni sawa.
Huo muda sasa!Google Sam Altman
Shauri yake, sisi tunaendelea kurahisisha maisha na ChatGPT 4
Upo sahihi sana Master...Mnapenda kweli kuwajadili mashoga!
Itakuwa low-key mnaupenda.
Ishindwe kabisaKumbe !!
Ndiomana alirudishwa maana watu kama hawa ni wanatafutw sana ili kutekeleza ajenda ya ushoga dunian.
Watoto watakauw wakisoma drsn hap ndio mifano yao, na kwakuw ni watoto wao kuiga wataona ni sawa.
Kwa jamii ya watu ambao hujidai kuuchukia sana ushoga, hakika huwa wanatumia muda wa kutosha kuujadili!Upo sahihi sana Master...
Kwa kweliMnatumia nguvu sana kuwatangaza hao Vima...
Ndio vinini?Shauri yake, sisi tunaendelea kurahisisha maisha na Chat GPT 4