Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Programu ya akili mnemba (A.I)Ndio vinini?
Kila siku mtu unachezea mavi wakati k safi tako laini zimejaa kila kona!… with his boyfriend! Mungu aturehemu.
Na lile tumbo kubwa la lil Nas kaweka nin tenaHamjui agenda nyuma ya upuuzi huyo ...Sasa kwa taarifa hao wengi wanaojitangaza haswa watu maarufa sio mashoga ni mbwembwe na kupewa pesa ila kweny uhalisia sio kweli.
Yule lil Nas sio shoga sema tu anapata pesa kupiga promo wapo kibao wanajulikana , wazungu kama wanafanya porno kwa miaka ili kulipwa ...Mtu haoni shida kujitangaza kwa kulipwa ila kwa ground sio kweli ni promo tu.
Una maanisha "mbarikiwa"?Kumbe yule CEO machachari aliefukuzwa na board ya kampuni yake ya OpenAI na kurudishwa tena baada ya muda mfupi ni shoga.
Huyu kijana Sam Altman alipata umaarufu baada ya hio Coup de tat ilioshindikana ndani ya OpenAI.
Ni wazi sasa AI ni mpango wa watu wa New World Order na ndio maana watu wanaojielewa wanataka AI zisimamishwe au ziwe na kibali kama ilivyo nyuklia.
Soma zaidi hapa, jana ilikua harusi yake OpenAI CEO Sam Altman just got married
Promo tu hamna cha maana yule kuna mengi anafanya ili kupush mziki wake...Hayo mambo hayana uhalisia huo ushoga wazungu hawautaki wanaandamana ila hautoweza kukuta kweny media ...Na lile tumbo kubwa la lil Nas kaweka nin tena
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
bibi korofi hili hahahahUna maanisha "mbarikiwa"?
anaishi Dar sehemu gani?Kumbe yule CEO machachari aliefukuzwa na board ya kampuni yake ya OpenAI na kurudishwa tena baada ya muda mfupi ni shoga.
Huyu kijana Sam Altman alipata umaarufu baada ya hio Coup de tat ilioshindikana ndani ya OpenAI.
Ni wazi sasa AI ni mpango wa watu wa New World Order na ndio maana watu wanaojielewa wanataka AI zisimamishwe au ziwe na kibali kama ilivyo nyuklia.
Soma zaidi hapa, jana ilikua harusi yake OpenAI CEO Sam Altman just got married
Anasaidia vipi kushusha bei ya mafuta? jadili mambo yenye tija wacheni ujinga kutwa nzima ni maada za kipuuzi tupu, ni linu tutakuwa serious kama nchi?Jf ni sehemu ya kujadili sio matangazo
Huyu jamaa alifukuzwa kazini kwake bila kuweka wazi sababu za kumfukuza na vile vile akarudishwa kazini bila maelezo yyt.
Hili swala la yeye kuwa shoga inawezekana limechangia jambo zima la kufukuzwa na kurudishwa.
kinachouma zaidi hawa ndo watakua role models wa watoto